Recent content by The wave

  1. The wave

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Hao Kuna kitu kinafichwa wawe wazi tu kama walipata upako wa Diddy!
  2. The wave

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibiblia mwanamke yoyote ukimkuta hana bikra huyo si mke wako

    Ukombozi wa kumuhalalisha uliyemkuta hana bikira unakuja pale unapompiga pumbu anapata mimba wakati wa kujifungua anamwaga damu zaidi.
  3. The wave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jina la Dkt. Samia latamkwa mara 40 kwenye Hotuba ya Bajeti ya Serikali

    Kutamkwa mara 40 imesaidia nini Nchi?
  4. The wave

    JamiiForums Tanzania Viongozi serikalini wanajikopesha pesa za miradi mfano afya nk....

    We mbwa utakuwa mmoja wao
  5. The wave

    JamiiForums Tanzania Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Ekwechuku au Jegede
  6. The wave

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Karibu Christina na Mimi ni mtumishi bachelor tutengeneze familia. Nitakujali sana sitakunyanyasa na nitakusapoti kutoa huduma ili mradi na Mimi unihudumie.
  7. The wave

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Serikali kushindwana kauli na hospitali binafsi kwenye kitita cha NHIF, Waziri Ummy asaidiwe kuondoka wizarani

    Kwa hiyo Ummy yupo kwenye uwaziri sababu ya kula? Na siyo kumsaidia Raisi na wananchi kuendesha sekta ya afya kwa weledi na manufaa. Ili kulinda siha za watanzania wote!?. Mawazo mgando Kama tope la mbugani.
  8. The wave

    JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo

    Hapa serikali pia ijitafakari kupora fedha za NHIF kupeleka kwenye activities nyingine. Matokeo ndiyo haya. Pia management ya NHIF ivunjwe na waziri wa afya atumbuliwe hana uhalali was kuwa hapo.
  9. The wave

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

    Pia kustaafu kwa hiari iwe miaka 50 badala ya 55. Kuna graduate wengi sana wako mitaani. Raisi hili nalo lione.
  10. The wave

    JamiiForums Tanzania Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Nifah kumbe wewe ni Mama yoyoo ndiyo maana mzuri [emoji176][emoji180]
  11. The wave

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

    Tanzagiza imenusurika?
  12. The wave

    JamiiForums Tanzania Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

    Kwa hiyo na wanaume tutavaa vazi la Samia?
  13. The wave

    JamiiForums Tanzania Rangi nzuri ya kupaka sebuleni

    Ni ofisi ya Yanga au ya CCM?
Back
Top Bottom