Recent content by The Watchman

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Je, mazoezi yana msaada wowote katika kupungua uzito?

    Daktari Selestin Mpiri anaeleza kuhusu umuhimu wa ulaji sahihi (diet) ikilinganishwa na mazoezi katika kupunguza uzito. Mazoezi pekee hayawezi kurekebisha au kufuta madhara ya ulaji mbaya. Ili kupata matokeo ya kupunguza uzito, lazima uunganishe diet nzuri pamoja na mazoezi. Ulaji (Diet) Una...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Kweli kabisa
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Masiala
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Ni Sundar hiyo
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Hapana ilikuwa sawa kabisa, imeanza kuyeyuka baada ya kuwa connected na umeme
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Rafiki angu mmoja alipotaka kunyosha nguo, mara pasi ilipounganishwa na umeme ikaanza kuungua kama picha zinavyoonesha je tatizo ni nini?
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba aibukia sakata la Mhadhiri UDOM, asema Tutakuwa Taifa la watu wajinga sana tukidhani uhuru wa kuhoji na kukosoa unamilikiwa na watu fulani

    Sakata la kisheria linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limeendelea kuibua mijadala mipana nchini baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, kuibuka na kutoa tahadhari kuhusu usalama wa uhuru wa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanachuo: Tupunguziwe boom lakina ada tulipiwe asilimia 100. Kuna mtu analipiwa laki 2 na anatakiwa kulipa milioni 1.3

    kizungumza kwenye kipindi cha Kapu Kubwa Leo, @bodaboda_mmbea amesema kuwa wanafunzi wengi na familia zao wanapata ugumu kutokana na ada kutolipiwa kikamilifu, jambo linalowalazimu kutafuta fedha za ziada ili kukamilisha masomo. Kwa mujibu wake, ni heri kiwango cha boom kitapunguzwa ikiwa hatua...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwalimu ashikiliwa na Polisi kwa Wiki 3 kwa kuandika Facebook kutaka Lissu aachiwe huru

    Mwalimu wa Sekondari Mbeya aripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa zaidi ya wiki tatu Mwalimu wa Shule ya Sekondari Itunge iliyopo wilayani Kyela, mkoani Mbeya, Anyambilile Ibrahim Mwamwile, anayejulikana pia kama Nickodem Kitalati katika mitandao ya kijamii, anaripotiwa kushikiliwa na Jeshi la...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya uongo ya uwekezaji yanayodai kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika soko la hisa DSE

    TAARIFA KWA UMMA DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE. Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE Usibofye. Usishiriki. Usitume pesa. Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Atakayehamasisha vurugu hatabaki salama. Vyombo vya dola vimejipanga

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kiungo kwenye mwili wako unapaswa kukiomba msamaha kwa matumizi mabaya?

    Umepewa nafasi ya kuomba msamaha kwa kiungo chako kimoja cha mwili wako kwa matumizi mabaya, ungechagua kuomba msamaha kiungo gani?
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Nimetembelea Bunge la Sweden, Wizara ya Mambo ya Nje inajua mambo yetu mengi kuliko mbunge wetu aliye bungeni au mteule wa Rais

    Askofu Bangoza na safari yake huko Sweden anasema, Tarehe 16 na 17/6/2026 nimetembelea Bunge la Sweden (Riksdag), Wizara ya Mambo ya Nje na makazi ya kifalme. Nilialikwa, sikwenda kutalii na kushangaa kama Wajaluo wanaolipa kiingilio ili kuona binti mweupe. Nimekutana na kufanya maongezi na...
Back
Top Bottom