Recent content by The Voiceless

  1. The Voiceless

    Katibu Mkuu CHADEMA Dr.Vicent alaani tukio la Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kuvuruga uwekaji wa jiwe

    Hizi ni siasa za kitoto sana. Hivi tunajenga nchi ya CCM au Watanzania bila kujali vyama na itikadi zao? Alichokifanya mkuu wa mkoa wa Arusha ni utoto wa chekechea. Upuuzi mtupu. Na kama hili ndilo lengo la chama cha CCM, basi wayafanyayo ni UJIMA!!!
  2. The Voiceless

    Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

    CHADEMA kama chama cha siasa ni TAASISI siyo MTU. Watu watapita, TAASISI itabaki. Mleta mada acha RAMLI
  3. The Voiceless

    Rais - Jifunze Kutokana na Makosa ya Wengine

    You have said it! Be blessed
  4. The Voiceless

    Magufuli ni bingwa wa Siasa Tanzania,

    Msifia mvua huku inamnyea. Wakati mwingine ni vyema kukaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wa kiwako cha PhD.
  5. The Voiceless

    Dar: Polisi wavamia kikao cha ndani cha Kamati Kuu ya CHADEMA, Meza Kuu yaitwa Polisi na kuachiwa

    Ni wapumbavu tu wenye kushabikia yanayofanywa kwa kuibinya democracia. Hakuna atakaye kuwa salama hata wewe unaye shangilia sasa.
  6. The Voiceless

    Operesheni UKUTA: Lema amjibu Waziri Mwigulu. Asema yupo tayari kufa akipigania haki...

    Na ni serikali ya mtindo gani inayodhamiria kuua raia wake kwa kudai haki? Mbona hilo hamlizungumzii?
  7. The Voiceless

    Tetesi: Si shwari, rais Magufuli kutangaza mazito August 31 siku moja kabla ya UKUTA

    Kweli ya iliyo kweli na haki Hutozimwa kwa vitisho na nguvu za kijeshi. Hakuna aishiye kwa nguvu zake mwenyewe. Ushahidi bayana ni KIFO.
  8. The Voiceless

    Mazoezi ya jeshi La polisi Morogoro, ITV

    Police kuwatisha wanainchi ni upuuzi na uwendawazimu. Haki ya mtu siyo swala la pendekezo la yeyote. Hii ni haki ya kulaliwa. Rais kuvunja Katiba na kufanya yake halikubaliki. Maigizo ya Police ni mbwembwe tu za kumfurahisha mfalme juha, na mwisho wa siku cheusi kitakuwa cheusi na cheupe...
  9. The Voiceless

    Operesheni UKUTA: Lema amjibu Waziri Mwigulu. Asema yupo tayari kufa akipigania haki...

    Hii inchi siyo mali ya yeyote yule kwa vyovyote vile, bali ni sehemu yetu sote kuishi bila bughudha kwa mujibu wa Katiba.
  10. The Voiceless

    Operesheni UKUTA: Lema amjibu Waziri Mwigulu. Asema yupo tayari kufa akipigania haki...

    Mheshimiwa Lema, you have said it in a right way. God bless you always!
  11. The Voiceless

    CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

    Utawezaje mtenganisha mtu na imani yake?
  12. The Voiceless

    Operesheni UKUTA: Mwigulu Nchemba atoa maelekezo kwa polisi nini cha kufanya Septemba Mosi

    Unamaanisha nini "wananchi?" wafuasi wa CHADEMA siyo wananchi?
  13. The Voiceless

    Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

    Kama hakuna kilichofanikiwa mnaweweseka kwa lipi?
Back
Top Bottom