Recent content by The Verteller

  1. The Verteller

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo ya Mbeya ni mbaya

    Sio Mbeya tu ata Huku Goba Maji ni changamoto sana, ni aibu kwa Mji kama Goba hakuna Maji afu viongozi wapo tu
  2. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Video: Msikiti wapigwa chini baada ya handaki la kigaidi kugunduliwa humo

    Umesahau waislam wa Kondoa ni hatari sana wale
  3. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Hivi kijana unakaaje mjini halafu unakosa vitu hivi?

    Hio namba 4. Point ya msingi sana kuna deal moja niipata mimi na mshikaji wangu lakin mwenzangu alifeli kwakua alikua hana leseni ya udereva
  4. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo kwa vinavyoanza na wanaosumbuliwa muda mrefu

    Ngoja niweke kambi apa make huu ugonjwa unanitesa sana
  5. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

    Asante sana mkuu Hii kitu iko poa sana jana nimeangalia mpira bila matatizo afu ina channel nyingi sema hii ytv nimechukua play store ila sijaona umuhimu wake naomba kueleweshwa
  6. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

    Mimi nilikua naikubali hii score808.com nayo imepigwa Pin
  7. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Safi sana Mkuu izi ndo inshu za kujadili zinaleta motisha kwa sisi vijana tunapambania ndoto, Sio kupoteza mda tunajadili mada za kupiga Nyeto
  8. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Instabridge
  9. The Verteller

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tufanye kazi, nyakati zinabadilika, uchumi wako unategemea utendaji kazi wako

    Barikiwa sana mkuu hakika huu ni ushauli mzuri sana
  10. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Matukio na vituko vya Sensa katika Picha na Simulizi fupi fupi

    [emoji3][emoji3] Voda mpaka Tigo
  11. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Kila siku MB 200
  12. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Soma upate mawili matatu: Kwa umri huu, haya nambo yafuatayo Nimeyashuhudia na kuyapitia

    Waliotafuta pesa kwa tabu hawazitoi kirahisi, wanaotoa kirahisi hawana malengo, wenye malengo hawana pesa.
  13. The Verteller

    JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Poa ntajarbu kwa rain nyingne
Back
Top Bottom