Recent content by The undertaker 21

  1. T

    Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Au achukue BNB..maana Ethereum manipulation n nying (za kina balckrock,.VanEck) sana japo ipo vizur,..
  2. T

    MAZAO YENYE SOKO

    Wadau ,.kama ilivo ada ni lazima watu wale,..nauliza ni nafaka zipi zenye faida na uhitaji,.. Yaani nafaka zinazouzika kwa sana,..pamoja na mikoa husika
  3. T

    Blockchain inaweza kua suluhisho kuyafikia masoko ya NYSE na Nasdaq

    Safi sana 👏👏,..hizo ndo zinaitwa RWA,. Yaan Real world Assets,..na ni hatua muhimu katika masuluhisho ya kiuwekezaji, BLOCKCHAIN IS THE FUTURE
  4. T

    Fahamu kuhusu web 3 (blockchain),..Siri, fursa na utatuzi wa matatizo ulioletwa na teknolojia hii

    Web 3 ni neno linalotumika kuelezea hatua ya tatu ya maendeleo ya mtandao ambayo inatarajiwa kubadilisha jinsi tunavyotumia intaneti. Ili kuelewa Web 3, hebu tuchukue hatua nyuma kidogo na tuangalie historia fupi ya mtandao. Web 1.0 ilikuwa "mtandao wa kusoma tu" miaka ya 1990 hadi 2000...
  5. T

    Teknolojia ya web 3( blockchain technology)

    Jaman watanzania nahamasisha muamko katika teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology ) kwa sababu kuna baadh ya nchi za Afrika zimepiga hatua katika hii teknolojia na zinaitumia katika ustaw wa Jamii na nchi zao,.. Nchi kama Kenya, .Ghana, Nigeria na kadhalika zimesharasimisha...
  6. T

    Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Daah kwel kazi ipo...hivi masjala ya kuhifadhi taarifa zako nayo ni ya matajir au maskin...hiyo si ya kila mtu,... Kwel Tanzania tupo nyuma Sana kiteknolojia
  7. T

    Kwanini Blockchain Si ya Wenye Pesa Tu, Ni ya Kila Mtu!

    Kiukwel kwa sasa nahitaj ni develop blockchain yangu ambayo itatumika kweny mataasisi,..serikali na hata biashara,...naamin nitafika mbali
  8. T

    Je umewahi kusikia teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology)?

    Nataka maoni kwanza ili nikianza tiririka nitiririke jumla
  9. T

    Je umewahi kusikia teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology)?

    Je umewahi kusikia teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology)??
Back
Top Bottom