Recent content by the truecaller

  1. the truecaller

    Nawashauri wanaCCM kumpuuza Membe

    Well said mkuu, umesema ushauri mzuri kabisa!
  2. the truecaller

    Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Kama membe wenu angekuwa na ushawishi anaowaaminisha hako kakikundi kake kule mtama. Kwa nini asigombee kupitia chama chochote kile kama unapendwa unavyojinasbisha mbona usiwe shujaa. Halafu mgombea ni wewe ila kauli zako unadai sisi, je wewe na watu gani wazungu?
  3. the truecaller

    Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

    TAJA SEHEMU AU TUKIO LOLOTE AMBALO KENYA ILIWAHI KUSIMAMA PAMOJA NA SISI TANZANIA, ZAIDI YA KUTUTUHUMU TUNASAMBAZA KORONA AFRIKA MASHARIKI?
  4. the truecaller

    Kunyamaza ni silaha kubwa

    Ringo Malisa, Naunga mkono hoja mkuu 100% TRUE SAID!
  5. the truecaller

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020 bila Tume huru wala Waangalizi wa Kimataifa

    Mjotathmini sana kabla watanzania hawajatathmini wao, na yasijewakuta yaliyowakuta kwa kufukuzwa mwanza na wananchi wakati mkizunguka na maiti ya marehemu A,mawazo.
  6. the truecaller

    Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    MUNGU AKUSIMAMIE NA UMENENA UKWELI MTUPU. HUKO KWA BABA LA MABEBERU WANACHAPA KAMPENI KUANZIA JANA. PAMOJA NA KORONA KUWEPO KWA KOWANGO CHA JUU!
  7. the truecaller

    Hivi ni lazima chaguzi zetu zisimamiwe na wasimamizi kutoka nje? Afrika tutakuwa watumwa mpaka lini?

    Ina maana corona isipoisha uchaguzi hauwezi kufanyika Afrika. Mbona hao wazungu huko Amerika wameanza kampeni tena pandemic ikiwa juu! Acheni ushamba aisee!
  8. the truecaller

    Chama makini hakiwezi kushupalia suala dogo kama hili. Hii ni dalili sasa mmeshakubali matokeo

    Ukiona chama kinalilia bunge live lilipokatishwa nao walikatishwa. Unaichukuliaje hiyo?
  9. the truecaller

    Chama makini hakiwezi kushupalia suala dogo kama hili. Hii ni dalili sasa mmeshakubali matokeo

    Huu ni ukweli usiopingika kabisa. Wanajadili watu na matukio badala ya sera na hoja. Umefika wakati wa kuwatambua chadema kama failed party
  10. the truecaller

    Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

    Mnakurupuka kuilaumu serikali wakati ni Mmiliki wa hotel na kampuni yake ya ulinzi anaitwa Minja na amesema huyu jamaa ndio anatembeza fweza kwa askari njaa na wanaharibu ametaja kwa kudokoa nyaraka muhimu. Amemtaja mkuu wa kituo cha polisi majengo. Pia ametaja na uongozi wa polisi mkoani...
  11. the truecaller

    Uchaguzi 2020 CHADEMA wanaweza wasipate Wabunge

    Huku mnasema mnajiamini, huku mnaweweseka CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (chadema) Mmekuwaje mbona mmekata tamaa dakika za mwanzo. Hayo yote uliyotaja kwa ujumla ndio yalikuwa matatizo ya nchi yetu, ukiongeza na hili la wimbi la wanasiasa wapiga deal! Mnajaribu kuichonganisha serikali ya awamu...
  12. the truecaller

    Siku Mbunge Ally Kessy alipoambiwa kama anataka usultani, arudi kwao Yemen!

    Ni kweli na huyo mtoa kauli akakubali kwa kusema ngoma droo, akimwambia spika
  13. the truecaller

    Mwenye wasifu wa Kulwa Biteko

    BITEKO NO MOJA YA MAWAZIRI WACHAPA KAZI NA ASIE NA MAKUU NA WATU, MIMI NAMUOMBEA MEMA SANA
  14. the truecaller

    Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    Photo editor umeiona wazi hiyo acha ujinga. Chadema kwishney hoja hamna mnaanguka kwenye ngazi tu [emoji116]
  15. the truecaller

    Uchaguzi 2020 Mbowe kabugi step?

    Yaani strategy ipi tena safari hii nina imani itakuwa gear ya kwenye ngazi [emoji116]
Back
Top Bottom