Recent content by The Tomorrow People

  1. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Sexy legs na miguu ya bia sikila miguu ya bia unaweza kuwa sexy leg lakini mara nyingi ni ndio japo ipo miguu isiyo ya bia ni sex leg ila sio yote

    Hili swala la mguu wa bia sijui mguu wa soda nadhani lina ubusiano mkubwa na lishe. Walisheni watoto vyakula vyenye protini nyingi hakuna mtu asiye na mguu wa bia mchawi ni lishe duni.
  2. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Aprtments hizi zineanza kuuzwa karibu utembelee mradi wetu

    Bei ni kubwa kuliko za Seoul 😃
  3. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Visiwani Kunani?

    1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu. 2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto. 3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu. Anyway ngoja niagize Pop corn nifuatilie kwa ukaribu hizi ziara 😃
  4. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Warioba anatumiwa na wazungu kueneza chuki kwa watanzania

    Script ni ile ile ya mabeberu 😂😂😂
  5. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Kuna nabii alisema kuna vifo vinne vya kitaifa vinakuja!!
  6. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine GenZ Wasimamisha Shughuli za kiuchumi Tanzania hii ni hatari

    Ikipigwa standstill ya week nzima namna hii hasara ni kubwa sanaaa!! Na hii ni hatari zaidi ya maandamano.
  7. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi relentless efforts to promote Democracy in Tanzania

    The sun over Dar es Salaam was a relentless, burning eye, but it was nothing compared to the fire in Mange Kimambi’s heart. In a nation where the political landscape was often painted in monochrome, she had chosen to wield a brush of every color, and her canvas was the airwaves. It did not...
  8. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13, Wageni wapigwa Stop! Hawatakiwi

    Hawataki hata kupewa pongezi na ndugu na jamaa 😂😂
  9. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

    Almost kamati kuu yote ya CDM si itaishia jela 😳
  10. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

    Hao watu Mil 31 walipiga kura saa ngapi? 😂😂😂😂
  11. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Nina hakika huko CCM mpaka muda huu hawajanywa chai 😔
  12. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

    Asalaam Aleykum!! Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa. Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili...
Back
Top Bottom