Kwenye hili swala nilisha fanya kautafiti na mpaka sasa Airtel wamesha invest kwenye reseach centers huko nje kwa ajili ya kufanikisha hili zoezi. Ila mambo yana weza yasiwe kama tunavyo waza labda miaka ya mbele huku ila kwa mwanzo ili kampuni iweze toa huduma za satellite communication itabidi...
https://www.jamiiforums.com/threads/majirani-wamemripoti-jamaa-kituo-cha-polisi-kisa-kazi-yake-haijulikani-sasa-anadai-milioni-500-kwa-kuletewa-usumbufu.2249083/
Hamna hatari yoyote boss ni kujipanga au kuangalia kama aina ya kazi ina kuruhusu.Kuna uzi hapa jamii forums wa leo jamaa kapaleka...
Mkuu badilika kazi za kufanya online zipo kibao. Mimi ni miongoni mwa watu wanaweza kaa ndani hata siku nne mfululizo, mostly shopping na hakikisha fridge iko safi mahitaji muhimu napata, internet ipo unlimited plus backup UPS ipo na vifurushi vimelipiwa M-pesa na tigopesa vipo hewani mimi...
Bro tupambane sana, hakuna mtu anae kuwazia, kila mtu ana majukumu yake hakuna wakuja kukuboreshea maisha zaidi yako mwenyewe. ishara za haya nayo kuambia zipo kibao. Kikubwa fight na wewe ukae mahali basi ukisubiria huku chini uta kufa hujawahi kuwa na maisha ya kueleweka. Kaa tafakari kuna...
Survival for the fittest pambana na wewe uendeshwe kwenye V8 mwendokasi niya wanyonge. hakuna aliepo bungeni kukuangaikia ukiona maendeleo jimboni kwako ni kwa bahati tu kila mtu ana pambania ndugu zake kujiwekea miradi yake, wewe ukikazana kuangalia wanaleta mabasi kwa kazi zao na matumizi yao...
Hapa ndio ukiskia kula urefu wa kamba yako ndio hii sasa. Wenye nguvu na haraka wata kwenda kwenye express walalahoi wata pambana na vya wote. Maisha ndio yalivyo hatuwezi kuwa sawa, gap kati ya maskini na matajiri lazima ziwepo hapa ni clear picture infront of ur naked eyes kuwa una hitaji...
Binafsi na wish sana kukutana na technical tema nina mawazo kadha kuhusiana na kuboresha huduma na kufanya iwe ya kisasa zaidi. Tu kumbuke lengo ni kutoa huduma na kurahisisha sio kukusanya pesa tu ila kumpa nafuu mtumiaji.
- Card iwe moja tu kwenye huduma za usafirishaji maanake; Kivuko...
Kilimanjaro ni kama biashara ime washinda. Nimewahi kuwa na malalamiko nika report kwao hata hawaku jali, ukienda ofisini kwao kama Kigamboni huduma ni mbovu mno, una kuta mtoa huduma yupo busy instagram hana hata mda kukuhudumia salam tu kujibu shida. Ni mda wa kuhamia kwingine kuna basi za BM...
Kwa upande wangu naona nimeokoa kz nimelipia package ya mwaka 185k na baki niki kimbizana na internet tu 70k. Ila na kuwa na uwakika wa mpira nje na ndani, movie na series bila hustle ya kudownload nani katika quality ya HD
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.