Recent content by THE STORM

  1. THE STORM

    Mchungaji Getrude Lwakatare apigwa stop kulipia wafungwa faini

    Nawaza tu ! Mtu kafanya kosa Na kapewa adhabu baada ya kusibitika Na mahakama ! Je kumtolea faini yake si ni sawa Na kumfanyia adhabu yake !? Vipi kwa walio fungwa , je wata enda gerezani kufungwa Kama mbadala wao Kama dhana ni kusaidia !?
  2. THE STORM

    DAR LUX yadhalilisha abiria wake

    Jamani ! Mimi si mfanyakazi na wala si mmiliki wa Dar Lux ! Lakini tarehe 5/9/16 nilikwenda Buzuruga specifically kwenye office zao kwa lengo la kukata tiketi ya hilo basi ! Nilikuta vijana , mmoja akiwa na maji ya kunde au mweupe kama ambavyo tumezoea kusema pamoja na mdada among others ...
  3. THE STORM

    Saudia: Amuua daktari wa kiume kwa kuuona utupu wa mkewe wakati wa kumzalisha

    Wengi husemaga hivyo ! Ooooh mimi siguswi oooh sitaki mwanafunzi nk nk ! Nakumbuka kama miaka 12 hivi au zaidi ! Nilikutana na mtu sampuli yako ! Yaani hataki kuguswa na dr wa kiume tena mwanafunzi ! Nikamwambia haya sister poa ! Kiliponoga na kunogile aliniita tena kwa nguvu doctaaaaaa ...
  4. THE STORM

    Fedha zilizo tumika kununulia ndege zinaweza kujenga Viwanja vyote vya mikoa kwa kiwango cha kisasa

    Naomba mwenyezi Mungu ampe moyo wa kishujaa mh Magu na asikatishwe tamaa na kauli kauli kama hizi ! Watanzania tumekuwa hatuna jema , ilimradi tunaweza kutype , basi kila kitu ni kibaya kwetu ! Naweza ona tofauti iliyopo kati ya mtendaji na mpiga domo (politicians) . Magu ni mtendaji na haishi...
  5. THE STORM

    Naombeni ushauri, mdogo wangu wa form four kapewa ujauzito

    Yoga asante ! Nimesoma hivyo vifungu ! Ila pamoja na urefu wake , vitend ni vichache tu ! Barua ya dr kuthibitisha siku ya kujifungua na pengine binti kutoa identity ya muhisika ! Lakini pia nimeona kuna room ya kukaa kati ya miezi sita na mwaka ,allowing only one re admission ! On my opinion ...
  6. THE STORM

    Naombeni ushauri, mdogo wangu wa form four kapewa ujauzito

    Asante ! Naona dogo ajiandae taratibu apige hiyo paper na asubili matokeo ! Yakitoka anaweza akakava yale ambayo hakufanya vizuri ! Kama alikuwa vizuri bado anayo nafasi ya kufaulu japo kwa kiwango cha chini , then aje kulisiti yale ambayo atakuwa hajafanya vizuri !
  7. THE STORM

    Naombeni ushauri, mdogo wangu wa form four kapewa ujauzito

    Sina uhakika labda anae jua atujuze , ila nadhani ilishapita sheria , mwanafunzi hatafukuzwa shule na ataruhusiwa kufanya mtihani hata akipata mimba ! I stand to be corrected
  8. THE STORM

    MBEYA: Kijana wa miaka 20 afichwa ndani kwa miaka 11

    Hizi taarifa za majirani wakati mwingine ni chumvi ! Miaka 11 bila kupewa chakula asimgeweza kuwa hai ! Ni common sense tu inatuambia hivyo ! Kuwa na mtoto wa aina hii kuna gharama kubwa sana kwa wazazi kiuchumi , kijamii na kisaikolojia ! Nadhani wanahitaji msaada ili waweze kukabiliana na...
  9. THE STORM

    Naombeni ushauri, mdogo wangu wa form four kapewa ujauzito

    Inasikitisha kuona baadhi yetu tuna mkashifu mtoa mada na binti ! So low of you ! Kwanza huyo mtoto hasomi hizi comment humu na hivyo kufanya anae toa kashfa zidi yake ni sawa na anampigia gitaa mbuzi acheze ! Mtoa mada umenigusa sana kwa kujali kwako na nikushauri uendelee kuwa karibu na...
  10. THE STORM

    Obama ataka mageuzi katika jeshi la Polisi

    Mkuu umeangalia video lakini !? Na hizo silaha ni weusi tu peke yao wanazo ! Umefanya lini utafiti ukaona ni black peke yao wanafujo !? Je hujawahi kutana na hardcore gangsters white people !? Au ni kujikataa tu !? Anyway ,labda uko sahihi ktk maelezo yako lakini nakushauli uangalie video
  11. THE STORM

    Tanzania yatangaza kujitenga na Afrika Mashariki na Ulaya ili kuleta viwanda

    I do agree with you mkuu ! We can not function alone and we basically need other players in the economic game ! But to have fair and free game , toddlers plays with toddlers and teenagers with teenagers ! First division with first division , till they upgrade , second division team will have to...
  12. THE STORM

    Tanzania yatangaza kujitenga na Afrika Mashariki na Ulaya ili kuleta viwanda

    Mkuu ! I would like to declare before hand , that i am in a total support with the goverment stand over the subject in question for various fundamental reasons ! Let me start my reminding the statement that was given by the late mlm Jk Nyerere , you protect the weak untill they are strong...
Back
Top Bottom