Recent content by The Son

 1. The Son

  Tujuzane, ni lini???

  Good news, zinalipwa leo na kesho.
 2. The Son

  Tujuzane, ni lini???

  Sio za siku nne. Kauli iliyopatikana leo ni kuwa cheque iko kwa Mkurugenzi. Hatari iliyopo ni kuwa siku za kazi zilizobaki kwa wiki hii ni kesho na keshokutwa tu. Wajuzi wa mambo wanasema walimu wa Sekondari wilaya ya Mkinga mna hali ngumu sababu viongozi wenu hawajali, muda mwingi wako bize...
 3. The Son

  Tujuzane, ni lini???

  Walimu ajira mpya Sekondari Wilaya ya Mkinga, Tanga fedha za kujikimu kwa siku nne zilizobaki zitalipwa lini? Hali ya uchumi ngumu.
 4. The Son

  Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

  RE: Wilaya: Mkinga, Mkoa: Tanga
 5. The Son

  Chemistry

  Sio "wataji'jj" au "wataji'dabojei"??? Kwangu hii mpya!!!
 6. The Son

  Chemistry

  We pia waweza kutafsiri. Ni rahisi, copy kilichoandikwa, kisha paste hapa: Google Translate Kumbuka ku'detect language as 'Swahili' Me nimefanya hivo ikatafsiri hivi: Wewe ni kweli inayotolewa kwa mtu. Kuanza tarehe na kemia kukua na nguvu na nguvu. Unaweza kuchukua mambo ya ngazi ya pili na...
 7. The Son

  Chemistry

  Umechangia kwa kutoa malalamiko yako.
 8. The Son

  Utajiiskiaje na utafanya nini mkanda wako wa ngono ukivuja?

  Ni swali linalopaswa kurudiwa tena na tena: Unajirekodi ili iwe nini?
 9. The Son

  Chemistry

  Ulivoandika hapa hujachangia???
 10. The Son

  Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

  Wenzangu mliopangiwa kwenda kufundisha huko mpo?
 11. The Son

  Polisi waua magaidi 2 waliovamia Msikiti Kilindi

  https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/540375-believe-it-or-believe-it-not-september-11-2011-twin-towers-were-hit-by-military-plane.html
 12. The Son

  Msaada tafadhali;ni kuhusu kamusi ya Kiingereza-Kiingereza.

  Nitaipata wapi nii-download kamusi ya Kiingereza-Kiingereza ambayo maneno yake yamekuwa transcribed ki-fonetiki?
 13. The Son

  Dictionary

  Help please!Where can I download a dictionary whose words are transcribed phonetically either offline or online with Nokia Asha 210 dual SIM?
 14. The Son

  Dictionary

  Help please!Where can I download a dictionary whose words are transcribed phonetically either offline or online with Nokia Asha 210 dual SIM?
 15. The Son

  Ishakwisha?

  Ishakwisha?
Top Bottom