Well, thanks for sharing this updates, looking forward to see Lissu branding his Country international wise. Vinginevyo itakuwa upuuzi na kujitafutia masirahi binafisi. (Mtazamo )
Labda anayo point ya kuwakilisha ila namna ya kuwakilisha ndiyo imekuwa ngumu, hususani kushindwa kufahamu muktadha wa anapodeliver his ideas and thought na kushindwa kuchagua maneno ya kutumia(Kama washwa). Nashauli kwa hao waliokuwa wakimshangilia wawe msaada kwake badala ya kuendelea...
Hello to everyone here, naomba msaada kwa mtu ambaye anaweza akanisaidia mwongoza wa namna ya kupata mashine za selcom na max malipo. Nitashukuru sana kwa mwitikio chanya juu ya ombi langu. Ahsante.
Je, vita dhidi ya Unga kwa Mkoa wa Dar Imekuwa na mafanikio kwa asilimia ngapi??? je, approach iliyotumika inaufanisi wa kutokomeza biashara hiyo hapa nchini kama itakuwa adapted kwa mikoa mingine pia?
1)kama itakuwa 80% above success (Big up makonda)
2)Ikiwa ni below 20% success (You need to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.