Recent content by THE RIGHT POLITCIAN

  1. T

    CHADEMA yaaibika Kigoma

    Ok nasema hiv mtu ambae hataki ichi yetu iwe na amani tutamjua tu, nakwasababu yeye anapopakukimbilia baada ya machafuko kulipuka huyo hatufai, kama hafahamu kuwa watanzania bado wanapambana na maisha na hataki kuelewa huyo hatufai kabisa , baba zetu wasio na uwezo, mama zetu, bibi zetu, dada...
  2. T

    CHADEMA yaaibika Kigoma

    muda umefika wa kuwashitaki watu wanaotukana wenzao bila kutoa hoja, hv nadhani kama watanzania wangekuwa wote wanaingia katika mtandao na kujifunza watu wanavyotukana hovyo basi kulikuwa hamna haja ya kuanza kupinga mswada uliowasilishwa bungeni kwa ajili ya kukomesha tabia hizi zinazoonekana...
  3. T

    CHADEMA Geita yasambaratika yenyewe

    In many developing countries today, its a bad lucky to say that, many people don't know what is politics, what they know is all about conflicts initiations, misunderstandings and fightings and I hope there is every reason to teach people to know politics first, learn the ethics of politics and...
  4. T

    Nchi yetu na amani kwa wote

    Katika kuchangia amani na utulivu kila mwananchi analo jukumu la kuhakikisha amani na utulivu vinadumu nchini, hii ni pamoja na kujifunza siasa zinazolenga kuzungumizia maadili na sio watu ama uchochezi, mimi ninaamini iwapo mtu atajikita katika kujenga hoja za msingi hoja za kushauri basi...
Back
Top Bottom