Recent content by The principal

  1. T

    Mtoto wa kambo

    najua unavyojiskia,sio kwakuyaona kwa watu and i think we have the same sorrow,unachokiongea nakiona kwangu kwa asilimia 100,chakukushauri ni jua lengo lako katika hiyo ndoa jua kusudi la kumsaidia huyo mtoto,huwezi kupinga kama anadamu yenu,Mungu ni mwaminifu sana usijali watu wanasema...
  2. T

    Tupia Majibu ya Maswali ya Kijinga

    Mtu umemfumania unamuuliza we nani anakuuliza nayeye mama ako mwanamke?
  3. T

    Uingereza yahalalisha ndoa za jinsia moja

    Ndio wanaotutawala hao na kusema wanatusaidia watatuletea na sisi,boyz mtaolewaje????
  4. T

    Mh!Yanakaribia kunishinda.

    Dear frends humu ndani mwenzenu nimeombwa ushauri wa jambo la ajabu ,tena lakunishangaza,kwa jinsi nilivyokuzwa nimezoea kuona heshima katika ndoa,leo mama mmoja ata sijamtegemea ameniambia kuwa ana ex boyfrend ambaye alichezea hisia zake uko nyuma na kumfanya avunje mahusiano aliokua nayo...
  5. T

    Mikopo ya JWTZ inatia huruma

    Acha ulofa izo propaganda feki tumia hoja sio mkwara
  6. T

    Mikopo ya JWTZ inatia huruma

    Budhaa zilizo ndani ya maduka hayo ni duty free urasimu upo jamani tusibishe ujinga
Back
Top Bottom