najua unavyojiskia,sio kwakuyaona kwa watu and i think we have the same sorrow,unachokiongea nakiona kwangu kwa asilimia 100,chakukushauri ni jua lengo lako katika hiyo ndoa jua kusudi la kumsaidia huyo mtoto,huwezi kupinga kama anadamu yenu,Mungu ni mwaminifu sana usijali watu wanasema nini,hakuna mtu atakufundisha juu yakulea mtu wa ndani ya nyumba yako atakaye ona hastahili kupewa adhabu wala kukemewa anapokosea amchukue nyumbani kwake,mwenzio nashukuru Mungu nimejifunza kua some times negligence is the best answer usisikilize kelele za uyo mama yake yeye yalimshinda ndo mana hakuolewa hapo achana naye.jitahidi usimuendekeze mtoto sisi mama wa kambo*(according to jamii) tumekua tunaonekana wanyanyasaji ukijaribu kumrekebisha mtoto asiye wako mara nyingi watoto hawa hugeuka kitu cha ajabu kwani akikua ataaga analala huku leo na kesho kule mwisho wa siku hayupo kwa baba wala hakufika kwa mama yake usi intertain ujinga utaambiwa kaharibikia mikononi mwako na cha msingi usifanye hila,mlee kama wako..karibu kwenye experience hii ngumu na lazima