Recent content by the obsever

  1. T

    Carol Ndosi: Dear International Community, Don’t come to us later and say “Had we known, we would have done more”

    Its such a brilliant piece of writting worth reading and understood, as a country we are in deep shit its awkward how things are going in the country, we do the government want us to just watch everything just like that and we shouldn't even question a thing?
  2. T

    Ukuta wa Mererani wakamilika kwa zaidi ya asilimia 98

    Kwa ulimwengu wa technogy huu tuliyopo huwez kuzuia wizi wa madini kwa kujenga ukuta mkubwa ...its a very primitive approach
  3. T

    Biashara ipi inaweza fanyika kwa mtaji wa milioni kumi

    Yeye aliwahi kufanya bia8shara?kabla kupata hiyo hela alikuwa anajishuhulisha na kitu gani?namshauri atulie kwanza.aendeleze alichokuwa anafanya kwa kuongeza mtaji kidogo ili shughuli yake ikue/grow taratibu.balance aiweke fixed deposit.mwenzi...miwli...hata sita.
  4. T

    Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

    nadhan karne hii ya sasa sio ya kusifia sherehe ifike wakat tuisifie serikal kwa mambo yanayolenga wananchi moja kwa moja na sii kuangalia sherehe pekee, tutafute sifa nzuri za kuipongeza na kuipima serekali yetu
  5. T

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    this is a very logical reasoning, bora wangeendelea kukaa kimya kuliko kuja na majibu ya fedhea kiasi ichi
  6. T

    Rais Magufuli arejesha heshima ya nchi na utu wa Mtanzania!

    Anatuvusha kuelekea wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    Mauaji Kibiti: Mkazi wa Nyambwanda, Hamis Ndikanye auawa kwa risasi

    this is so powerful.. haya ni maneno ya hekima sana na tungependa sana mtizamo huu uwemo ndani ya viongozi wetu ili waokoe nchi yetu na majanga hayo
  8. T

    Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA

    You may leave in peace umekikuta chama na kitaendelea....nenda katafute kadi ya act wazalendo
  9. T

    Wema nae anaishi maisha haya kwa gharama za chama

    umepata uhakika analipwa na ruzuku za chama au unaendeshwa na hisia na mizuka?
  10. T

    Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

    watu kama hawa ndo sababu ya viroba kuzuiwa
  11. T

    Ni ubabe au? Bodi ya Mikopo wanakata mpaka 500,000/ kwa mwezi, watumishi ni kilio

    kulipa sio ishu mkuu..ishu ni utaratibu wa malipo haujawa rafiki
  12. T

    Kama walimfukuza Zitto kwa kwenda mahakamani huko kisutu wanafanya nini?

    napata shida kuelewa uelewa wa huyu mtu unafananisha vitu viwil tofauti
  13. T

    Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    tunapoteza focus kwenye mambo ya msingi sana kwa kuelekeza nguvu zote kwenye mambo madogo sana
Back
Top Bottom