Recent content by The Negro Pope

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vituko vya Seminari. Wale ambao hamkupita seminary tuvumilieni kidogo

    Nakumbuka mtocho kule seminarini aisee ile ndo ilikuwa seminari kipindi kile achana na seminari za siku hizi wanalelewa kimayai sana yaani inaboa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maisha ni Maigizo: Ukweli ni Upi?

    Mungu si kama wanadam. One day utaelewa kwanini Yeye ni Mungu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka Madhabahuni hadi Kwenye Ukweli: Kwanini Siamini Tena Dini Tulizoletewa

    Kwa mashaka yako , ni dhahiri kuwa kuna Mungu . Mrudie tu atakupokea.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Unga: Utajiri wa Haraka, Kifo cha Hakika

    Bora dagaa kwenye amani kuliko nyama vitani.Huu usenge wa kutaka mafanikio dunia yote ikujue kumbe za ndani ndani unaugulia maumivu dah.Nashindwa kuelewa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    Ninachokijua ni kuwa: Mali na utajiri vina siri nzito nyuma ya pazia.Any way apumzike kwa amani tu
Back
Top Bottom