Recent content by the-need

  1. T

    Movie: Fat black booty###watu8 vs Lara1: Based on a true story:PG+18-Parental Guidance

    Wanamme inawafundisha: waache kufukuza au kuwanyanyasa wake zao. Kama ulitoka nje. .mwenzako akitoka nje usiteme cheche. Kausha!! Kuchapiwa ni siri ya ndani-
  2. T

    Movie: Fat black booty###watu8 vs Lara1: Based on a true story:PG+18-Parental Guidance

    Mbona wachina wageni lakini wanatega tembo??..acheni majungu
  3. T

    Movie: Fat black booty###watu8 vs Lara1: Based on a true story:PG+18-Parental Guidance

    Ebwanae.....watu8 anasafiri kwenda Ethiopia anamuacha Lara1 Tanzania. Mawasiliano yanakua sio kwasana kozi watu8 keshakamatia tayari mtoto wa kiethiopia. Watu8 keshalijua jiji pale nchini kawa maarufu tayari akawa mtu wa kugonga tu madem. Side B; Mtoto Lara1 baada ya kuona communication ziro...
  4. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Sawa nimeelewa mkuu. Bora tumemaliza mzozo. Nashukuru kwa kunisamehe pia.
  5. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Asante mkuu. Yaishe basi -kiroho safi. Tufanye we ndo bingwa mkuu. Nisamehe kwa kuku hurt ur feelings. Sawa mkuu!!.wabeja sana!!
  6. T

    Msaada: Nipo tiyari kulipia kwa atakayenisaidia katika hili

    Fungua akaunti mpya. Then isearch hiyo akaunti yako ya awali. Nenda sehemu ya friends....na photos kama utazitaka. Kwenye friends hapo....utaona friendlist yako ya akaunti hiyo ya zamani. Waadd upya kwa kutuma friend request. Simple!!
  7. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Kukosea kwangu sio lazima unitukane. Najua umemaliza kula soseji ndio maana unakua na lugha hizo. Basi nipo Meatu...yaishe mkuu.
  8. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Nilikua najaribu kufanya utafiti kuhusu swala la migodi midogo kama nilivyoshauriwa na sexiologist. Kiukweli,nimewahi kusotea kwenye migodi mikubwa kama pale nzega na kahama mining. Maisha ya kukaa getini na kumsubiri boss then unampa cv yako. Kuhusu machimbo madogo.....kwa mtu kama mimi...
  9. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Asante kwa matusi. Barikiwa
  10. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Kwa wenye emmanuel tv...ibada imeanza. Lets watch it live from the Synagogue Church of All Nations,Nigeria. Live broadcasting
  11. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Asante sana kwa ushauri wenu mzuri
  12. T

    Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

    Asante kwa ushauri mzuri sana. Nitatoa taarifa kesho ama kesho kutwa nitakua wapi kati ya sehemu ulizotaja. Though ndio kulala nje...maisha ya kisela...huna rafiki wala nini...hujui utakua unalala vipi au kula vipi. Naamini Mungu ni fundi. Hata wewe umeandika hayo ni kwa grace ya Mungu tu...
  13. T

    Msamehe mpenzi wako akikukosea.

    Kwani ukisamehe...na wewe Mungu anakusamehe dhambi zako ambazo mwenzako ulimficha. Na hivyo Mungu ana renew relationship yenu na inakua blindnew...mapenzi billion
  14. T

    Msamehe mpenzi wako akikukosea.

    Ask urself.....how many time umemcheat bila yeye kujua?..tena umetembea na wanawake 20 au wanamme 6 bila yeye kujua.....inatokea bahati mbaya tu una mfuma na meseji mbaya....and u claim to broke the relationship. Damn!!! Thatsnt fair kabisa.....samehe na wewe usamehewe. Ndoa isiyokua na...
Back
Top Bottom