Zitto aombe msamaha tuu, bado chama kinamuhitaji, kibri ndiyo kimemponza illa chance bado anayo ya ku apologize. Zitto miye bado nakupenda sana natamani urudi kama zitto wa zamani.
Sitta ndiyo chance ya kujijenga ki uprezidaa hapo! Ukifanya kama maneno yako hata sisi wapinzani utatupa wakati mgumu ktk kinyang'anyiro cha 2015 kama ccmagamba watakupitisha amma ukigombea na kile chama chako cha kijamii a.k.a CCJ.
Illa bado gamba ni gamba TUSUBIRI TUJIONEE.
Miye Shauko langu ni Dk Slaa Kwenda Ikulu awe bachela awe hajaoa havinihusu mimi,
HAKIKA NITAMPIGANIA DK SLAA MPAKA JASHO LA MWISHO AINGIE IKULU NA JOSEPHINE NDIYO FIRST LADY MWENYE WIVU AJINYONGE TUU.
Wakuu nchi hii si ya kifalme wa kurithishana, nawasihi watanzania wenzangu mliopo Kalenga muikatae CCM kwa kishindo kikubwa kama ilivokataliwa na Arumeru ili CHALINZE nao wafate nyao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.