Mimi nlsoma Somsom bwn, ila baadae nkahama! Zile joint mass zilikuwa zinanifürahisha sana!!! Mechi je kat ya Somsom na Umbwe, ilikuwa fujo tuu!! Daah, namiss sn zle moments!!!!!!!
Serikali yetu imeona kuna umuhimu wa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kuwapa mkopo ili waweze kujikimu kwa muda wote wa masomo, cha ajabu hawa waganda wao hilo hawalioni wanachojali ni kuhakikisha wanatumia mikopo ya wanafunzi effectively ili kupata faida! Boom la mwezi 10 wao hutoa mwez...
Mwanzoni wakati ninapangwa kuja kusoma hiki chuo nilijiona mwenye thamani sana ila cha ajabu sasa hivi ninatamani kukihama chuo! Jamani .....sio wote ambao tunasoma KAMPALA kwetu ni mambo safi, wengine kwetu huo mkopo wa serikali yetu ndio kila kitu kwetu! Sasa tangu mwezi wa kumi hadi leo bado...
IQ ya mtu huwa inapimwa kwa vitu vidogo sana kama hivi! Kwa hyo comment yako hapo, imedhihirisha uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo! No connectivity ..........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.