Recent content by THE MOLE HUNTER

  1. T

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Gazeti la Tanzanite kuhusu CAG, alipokuwa mjumbe wa bodi ya NSSF

    Gazeti la Tanzanite la tarehe 09 Januari 2019, na hata la 10 Januari 2019 liliripoti kuwa Mkaguzi Kuu wa Serikali (CAG) Prof. Mussa J Assad alijimilikisha nyumba ya NSSF iliyopo Tanga, ikiwa ni mgongano wa maslahi na hivyo kuwa ni matumizi mabaya ya madaraka. Gazeti hili limetaja tu kuhusu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    kwa huu moto sidhani hata bashite atapokea simu zake kama namwona vile magu anavyosoma huu uzi na kucheka kuwa JF imeweza kuwa expose bakwata
  3. T

    JamiiForums Tanzania Trump na twitter, Jakaya na Instagram

    Rais Trump ameamua kuwasiliana moja kwa moja na wamarekani na dunia nzima kupitia mtandao wa Twitter na kwa kweli hii imewapa tabu sana vyombo vya habari ambavyo zamani vilizowea kutoa breaking news na kadhalika. Huku kwetu kiongozi mstaafu pekee ambaye hujitahidi sana kutumia mitandao ya kileo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Kikwete hampi kazi Balozi Ami Mpungwe?

    Ya Tido yatamkuta soon msiniulize zaidi
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bunge la Rwanda lapendekeza Sheria zitafsiriwe kwa Kiswahili

    napita tuuu wakuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    Davos?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    what difference 9 months makes
  8. T

    JamiiForums Tanzania Listi ya Mikutano nje ya nchi na akina nani wanawakilisha Tanzania

    Hii thread ita track mikutano ya kimataifa na akina nani wameenda kuiwakilisha nchi na ikiwezekana tutafanya estimates za gharama kwa kila mjumbe (tiketi za ndege, malazi, makazi, chakula, per-diem nk). Pia tutaangalia kama kuna ulazima wa kenda kwenye hii mikutano na inafaida gani kwa taifa au...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    hiyo aliyenda Geneva kwa nini hakuenda na Swiss Air ili kuokoa gharama na kodi za walala hoi?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    Ndege Imerudi mysteriously Flightradar24.com - Live flight tracker!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    Napita tuuu wakulu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    Mkuuu hebu punguza munkari Issue hapa ni kodi zetu na serikali tuliambiwa ni sikivu na kila kitu kitawekwa wazi ili wananchi wa one kodi zao zinafanya nini. Sasa why tukiuliza haya matumizi mnahamaki? Sasa maaana ya GOVERNMENT TRANSPARENCY iko wapi? Kama serikali inatuficha ina maana...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

  14. T

    JamiiForums Tanzania Nani kaenda Geneva, Uswisi na Ndege ya Rais?

    Asalaaam Aleykum Warrahmatullahi Wabarakattuhu. Ndugu Wa Tanzania. Ndege ya Rais Ndugu John Pombe Magufuli imetinga Geneva Uswisi masaa 24 yaliyopita. Commander in Chief (NDUGU MAGUFULI) kama mnavyojua kapiga marufuku safari za nje . Na kwa kuonyesha kuwa yuko serious, yeye mwenyewe kaamua...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kimya cha VP, Bi Samia Suluhu tukitafsiri vipi?

    heeheeee markiiiiiti
Back
Top Bottom