Recent content by THE MI6 INSIYDER

  1. T

    JamiiForums Tanzania UHAMIAJI ,what next tujulishane hapa

    tuhabarishane hapa kiwira au CCP
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya kufua kwa mashine

    its a good idea but i think our society is yet to receive this kind of biz ness so it will take long to break even ,labda uanzishe biashara hii ukiwa na lengo la kuosha uniform za makampuni kama ya ulinzi etc.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa watangaza nia ataleta ushoga

    ushoga hautaletwa na mtu bali utaibuka kutoka ndan ya jamii yetu yenyewe
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji vp wanachukua jkt au ?

    naskia tetesi uhamiaji wanachukua JKT this time ili waende wakapige depo na polisi
  5. T

    JamiiForums Tanzania ANAYEWEZA KU DOWNLOAD nafasi za polisi na kuziweka hapa anisaidie

    URGENT NEED place them here
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANAPA wanachukua JKT ama uraiani

    msaada kwa anayefahamu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa graduates wanaofikiria kwenda JKT

    wenye bacha always huwa wanatangulia kwenda labda uwe wa OP tofauti ,ila kwa ajira nyinginge tofaut na TPDF form 4 waliomaliza hv karibun wana soko kuliko hata form 6 na chuo idara kama polis magereza usalama always they opt for form 4s
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa police force kwa form six na degree holder

    kwa anayefahamu atujuze sameone in need of strait foward answers please
  9. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wanachukua mtaani this time au JKT?

    nasikia nafas mpya za police zimetoka sa sijui wenye bachelor na form iv wanachukua mtaani au JKT
  10. T

    JamiiForums Tanzania World lung foundation (WLF): Tanzania na Serikali ya Mkoa wa Kigoma wazindua Kampeni thamini uhai

    sasa kama vijijini hospitali hamna watajifunguliwa wap !
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    the price now is double what it was ,you get the same internet bundles for many of their are call bundles
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa umri nafasi za JKT

    umri miaka 23 kwa form 4 na six na miaka 30 kwa degree
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT na kigezo cha umri, waliomaliza vyuo wengi kutengwa

    utakuwa umesaini mkataba wa miaka miwil kwa hyo kama hajira haitapatikana ukimaliza koz utaendelea kusubir mpaka miaka miwil iishe uvumilivu ni muhimu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Pen down business ideas zinazoendana na mazingira ya Bongo

    Miji ya Tanzania inakua kwa kasi mwaka hadi mwaka. Kwa sababu ya ongezeko la watu biashara nayo inaongezeka. Je, zipi zitafit mazingira ya miji yetu? Tafadhali, orodhesha mawazo ya biashara inayoendana na mazingira ya Bongo tubadilishane mawazo. ========
  15. T

    JamiiForums Tanzania Graduate wengi wanakimbilia jeshini na inabid wajitolee jkt kwanza

    is anyone who has a law degree obliged to attend it
Back
Top Bottom