Katika miaka 7 ya Pep Guardiola kama kocha katika champions league ni aidha kombe achukue guardiola au timu iliyomtoa nusu fainali
2009 - Guardiola
2010 - Intermilan baada ya kumtoa pep semi
2011 - Guardiola
2012 - Chelsea baada ya kumtoa pep semi
2014 - Madrid baada ya kumtoa Pep semi
2015 -...
Inatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa ni special tournament ambayo watajumuisha na timu za north america na pia itafanyika nje ya america kusini yaani marekani
Habari zenu wadau mke wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo na pia mikono kufa ganzi tumeenda hospital kufanya vipimo tulivyoandikiwa na dokta akabainika kuwa ana typhod ndipo dokta akatuandikia dawa tajwa hapo juu sasa nimepatwa na hofu baada ya kusikia kwamba haifai kutumia dawa hiyo kwa mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.