olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,569
Salam zenu wakuu,
Naomba kujua kuhusu hii michuano ya Copa America ambayo inatazamiwa kuanza kutimua vumbi muda si mrefu.
Katika kumbukumbu zangu nakumbuka hii michuano ilifanyika mwana 2015 (mwaka jana) nchini Chile na wenyeji CHILE walibeba kombe hilo kwa kuwafunga ARGENTINA,
Na pia nakumbuka huwa linafanyika kila baada ya Miaka 4
Sasa hili linalofanyia sasa ni lipi??
nawasilisha
Hakuna haja ya kutoa mapovu