The Mastermind
Senior Member
- Dec 3, 2012
- 107
- 50
Habari zenu wadau mke wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo na pia mikono kufa ganzi tumeenda hospital kufanya vipimo tulivyoandikiwa na dokta akabainika kuwa ana typhod ndipo dokta akatuandikia dawa tajwa hapo juu sasa nimepatwa na hofu baada ya kusikia kwamba haifai kutumia dawa hiyo kwa mama mjamzito na haswa wakati wa mwisho wa ujauzito naomba msaada wenu juu ya ukweli wa maneno hayo na kama ni kweli jee dawa gani ya typhod ni nzuri kwa mama mjamzito?