Will the team that defeated Guardiola's be crowned champions once again?

The Mastermind

Senior Member
Dec 3, 2012
107
50
Katika miaka 7 ya Pep Guardiola kama kocha katika champions league ni aidha kombe achukue guardiola au timu iliyomtoa nusu fainali
2009 - Guardiola
2010 - Intermilan baada ya kumtoa pep semi
2011 - Guardiola
2012 - Chelsea baada ya kumtoa pep semi
2014 - Madrid baada ya kumtoa Pep semi
2015 - Barca baada ya kumtoa Pep semi
2016 ?
Aliyemtoa Guardiola semi ni Atletico je, historia itajirudia au ndio mwanzo wa kufuta na kuandika historia nyingine?
 
Atletico ni hatari sana ila fainali ina mambo mengi...jana Ronaldo kagongana ni Cassila kipa wake mazoezini alitoka kazi ipo ila inaonekana atacheza kwa sindano tena...
 
Mimi huwa siwapendi tu Real tangu nikiwa mtoto.

Hivyo, naomba Atletico wanipe raha hiyo Jmosi.
 
Mtu atakuja na kusema Pep ni kocha wa kawaida sana wakati jamaa kwa miaka 7 amecheza semi,fainali na kuchukua kombe kabisa.
 
Anae mtoa barca anastahili ubingwa , ningependa real achukue lakini ni ngumu kama kubaka Simba hawa watu wa simion hawafungiki kizembe
 
Anae mtoa barca anastahili ubingwa , ningependa real achukue lakini ni ngumu kama kubaka Simba hawa watu wa simion hawafungiki kizembe
uefa ni ngumu hasa ikifika hapo lolote kutokea ila Atletico wapo vizuri kuzidi sisi kwa sasa kila idara sema kanuni alienacho ndio ita apply hapo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom