Recent content by The Mandingo

  1. T

    Msaada kuhusu bank ya CRDB

    Habari zenu ndugu zanguni, Ninaomba msaada wa uzoefu wenu 🙏. Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao? Je, ni ule wa flat rate (unakata kiasi sawa kila mwezi bila kujali salio), Au ni ule wa reducing balance (ambapo...
  2. T

    Jamani tupatiane options, benki gani yenye huduma za uhakika tofauti na CRDB?

    Habari zenu ndugu zanguni, Ninaomba msaada wa uzoefu wenu 🙏. Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao? Je, ni ule wa flat rate (unakata kiasi sawa kila mwezi bila kujali salio), Au ni ule wa reducing balance (ambapo...
  3. T

    Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika

    Salaam Kichwa cha mada cha husika Ni jambo gani ambalo kama ungelijua mapema maisha yako yangebadilika na kuwa bora zaidi ya ulivyo leo
  4. T

    GE2025 Ratiba rasmi ya uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani

    Du mchakato nimrefu sio kidogo, Swali: Hivi kura na maoni zinazopigwa leo zinapigwa na watu au kamati gani?
  5. T

    GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Binafsi nasikia tu leo kulikuwa na upigaji wa kura za maoni mara baada ya hapa wanaenda hatua nyingine ya mchujo n.k,, tafadhari kwa anayefahamu anifahamishe hatua walizo pitia wagombea hawa wa udiwani na ubunge wa CCM kuanzia walipochukua forms hadi watakapo teuliwa hatua ya mwisho
  6. T

    Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  7. T

    Jinsi ya kuishi na mpenzi/mke au mume asie mwaminifu

    Natumai mu wazima, Katika mapenzi/ndoa najua wengi tu wanaishi na wapenzi ambao wanajua kua sio waaminifu na wengine wakafumaniana kabisa na wakashindwa kuachana nao kwa sababu mbalimbali. Kupitia uzi huu tujuzane jinsi ya kuishi na mpenzi ambaye sio mwaminifu ili kupunguza maumivu katika...
Back
Top Bottom