Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi.
Sereikali mko wapi?
Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu?
Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi?
Wako wapi wakuu wa...
Uko nchi gani ustaadh?
Huku nyumbani mpaka mufti Al haj Dakta sheikh mkuu auone ndio atangaze. Hata mimi nikiuona bila Dakta kusema umeonekana siwezi kumshauri mchepuko aanze kufunga.
Brother P.
From the deepest depth of your heart, do you think the 29/10 elections were fair?
Do you think, from the deepest depths of your sincere heart, the killings of the innocent young women and children on 29/10 was the right way to quell the peaceful demonstrations that were demanding fair...
Stupid guy.
Umekazia kama vile weww na ukoo wako hakuna siku mtaingia gerezani.
Yuko wapi mwenezi mstaafu wa chechemaa? Yuko wapi Mwamba Mwambi? Karma is a bitch.
Nashangaa tu imekuwaje handsome boy mshika remote jina lake halipo kwenye hizo faili.
Au tuseme Epstein hakuona umuhimu wa mrithi wa Benjamin Netanyahu?
Sio bure. Rushwa at work.
kuna pesa alipewa kutoka kwenye mgao wa yule jaji feki aliyetangaza matokeo feki.
Ni sawa na muislamu akila kitimoto huku kimara huku akijipa moyo kwamba hakuna chakula kingine. Au tumfananishe na mwislamu anayefuga nguruwe, sungura na mbwa simply because ya pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.