Recent content by the kind

  1. the kind

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Kama kuna sheikh anafanya hivo ni yeye,uislamu sio usheikh
  2. the kind

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Rizki inatoka kwa ALLAH na haitoki kwa jini wala malaika,pole kama ulipotoshwa
  3. the kind

    JamiiForums Tanzania Polepole: Chinua Achebe anaushauri wako ndani ya Things Fall Apart

    Hawa wanafiki wasizishughulishe akili zetu
  4. the kind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Tabia na mwenendo wake vinasadifu
  5. the kind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mohamed Zimbwe ni mwananchi

    Hata Simba sc siku anapigwa 5-1 dhidi ya yanga kumbuka Simba sc alikua na vijana wengi na yanga sc alikua na wezee wengi I've just remind you
  6. the kind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mohamed Zimbwe ni mwananchi

    Vijana wajinga
  7. the kind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mohamed Zimbwe ni mwananchi

    Vijana wa hovyo vs wazee wenye busara
  8. the kind

    JamiiForums Tanzania Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

    Me hua hata sielewi kua wananufaika vipi na huo uongo wao Wanapata faida ipi??
  9. the kind

    JamiiForums Tanzania Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

    Mbona taarifa yako inakinzana na taarifa ya International Atomic Energy Argency??
  10. the kind

    JamiiForums Tanzania Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

    Nimeuliza swali,nipe jibu
  11. the kind

    JamiiForums Tanzania Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

    Huyo ameshiba mkate na divai hawezi kukuelewa abadani
  12. the kind

    JamiiForums Tanzania Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

    Kumbe Iran inatengeneza silaha za nuclear??
  13. the kind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Simba kwa kufanya maamuzi sahihi na hakika Simba ina Watu makini , Simba bingwa NBC premier league 2024/25

    Kama wewe ndio miongoni mwa hao viongozi basi hapo Simba pamejaa aibu na fedheha
  14. the kind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Wanufaika wa udhalimu wa tff na bodi namna mnavoweweseka
  15. the kind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana mchezaji bora wa muda wote kaongeza kikombe kingine katika resume yake

    Umeandika kishabiki sana Eti Messi hajaacha mtihani mkubwa 😆😆,are you serious or you kidin' us?? Anyway,kuna kale kamtihani ka kufunga bao 91 ndani ya miezi 12,vipi tuanze na huo au huo ni mtihani mrahisi?? Maana GOAT wa kuchora yeye aliwahi kufunga bao 69 ndani ya miezi 12 mwaka 2013 akiwa...
Back
Top Bottom