Recent content by the kapex

  1. the kapex

    Computer problems

    Wadau wa jf naomba msaada wenu wakuu hivi ni matatizo gani yanayoweza kupatikana ikiwa nitaiformat mara nyingi computer yangu
  2. the kapex

    How to download music from the web

    Jamani wadau naombeni mnisasidie nijue namna ya kudownload miziki kutoka kwenye web mimi ni mpenzi wa miziki lakini sijjui nifanyeje , msaada wadau na wapenzi wa muziiki
  3. the kapex

    Je huu ndio mwisho wa computer?

    Wapendwa mie sio mwenyeji sana na kubadili settings za SATA kwa kutumia Bios setup kwanza hata hiyo SATA yenyewe siijui naomba endeleeni kutuelimisha pia yawezekana sio mimi peke yangu
  4. the kapex

    Je huu ndio mwisho wa computer?

    Jamani naomba msaada wenu wadau wa teknolojia hii, Nilikuwa naformat laptop yangu nilipoweka cd ya windows xp imekwenda ikafika mahala ikanitolea msg yenye maneno haya STOP: c0000221 Unknown Hard Error \System Root\System32\ntdll.dll...
  5. the kapex

    Speed ndogo ya youtube

    Natumia 3g tena natumia modem ya voda kwa laini ya airtel mkuu lakini bado tatizo ni hilo hilo
  6. the kapex

    Ofa ya pasaka kwa wateja wa airtel

    Hivi jamani leo ndio mnagundua kuwa airtel ni wezi na wanyonyaji wakubwa matangazo yao mengi na hizo offer nyingi ni za uongo nimekwishachoka nao
  7. the kapex

    Tutatue matatizo madogo madogo ya sim card na mobile phone

    Safi kabisa mdogo wangu elimu hapa jf ni bure big up endelea kutuelimisha
  8. the kapex

    Speed ndogo ya youtube

    Jamani naomba msaada kama kuna namna nyingine ya kui play you tube mara ninapoifungua huwa inaplay kidogo kisha inaonekana ikiendelea kuserch kuja ikaplay bila kusitasita ni hadi ifike mwisho sasa labda kuna njia nyingine hebu nisaidieni ili nikiiplay iende moja kwa moja bila kusitasita
  9. the kapex

    Msaada wa serial number za IDM

    Jamani naombeni serial number za internet download manager idman 605
  10. the kapex

    Ndo nimeua ama?

    Mara nyingi dell huwa zina cd driver, Baada ya kufomat unatakiwa uweke hiyo cd ili appearance yake iwe kama zamani kisha unaweka cd ya sound max kwa ajili ya sauti usiwe na hofu computer yako bado iko sawa tu ni cd zinazohitajika
  11. the kapex

    how to pm someone

    Nilikuwa namaanisha namna ya kutuma private message (pm) nifanyeje
  12. the kapex

    how to pm someone

    Jamani natamani ku-m pm mtu fulani lakini sijui huwa mnatumia e-mail address au huwa mnatumia nini? na unafanyaje ili uweze ku pm mtu sijui chochote msaada jamani
  13. the kapex

    Msaada wa genuine actveting codes za kaspaskery 2011.

    Msaada jamani sijui hata hiyo ku PM nifanyeje ili nizipate hizo codes
  14. the kapex

    Maana yake nini

    Kama ni hivyo basi naomba zile activation code za kerspersky 2011
Back
Top Bottom