Vat leaching plant...
Mfumo wa uchakataji wa madini ambao hufanya uzalishaji kwa Asilimia 70%. Ni mfumo ambao unatumia utenganishaji wa dhahabu na na madini mengine kwa kutumia kemikali(chemical seperation method, kwani kwenye makinikia yenye dhahabu kuna madini mengine yenye changamoto na...
Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara.
changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya kuchenjua makinikia hayo yenye dhahabu kwani wengi huangalia maslai yao binafsi ilihali wanajua...
hapo umekwama kaka bajet yako ipo juu sana na haina uhalisia wa kile kilichomo kwenye udongokaa na mkemia wako vizuri na hii biashara ni hatar usipo kuwa makini unaumia pia bajet ya cynide ipo juu compared na ww ulivoweka pia lab reagents hata ukinunua dukan haifik hio bei mkuu tumia akili...
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara.
Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
Ukiitaji kutengenezewa CIP, CIL, Vat leaching Plants, Elution plant na kufungiwa machine zako (instalation) utafiti, ushauli na upatikanaji wa wakemia katika kazi za uchenjuaji, reagent za migodini.
Tuwasiliane
#0753021057
Vat leaching plant...
Mfumo wa uchakataji wa madini ambao hufanya uzalishaji kwa Asilimia 70%. Ni mfumo ambao unatumia utenganishaji wa dhahabu na na madini mengine kwa kutumia kemikali(chemical seperation method, kwani kwenye makinikia yenye dhahabu kuna madini mengine yenye changamoto na...
Uchenjuaji wa madini hulenga kutenganisha madini kapi(gangue) kutoka kwenye mbare(Ore). Lengo la uchenjuaji ni kutenganisha madini katika mazao mawili madini yenye thamani(Consetrate) na madini taka(Gangue Mineral) yawe kwenye taka(Tailings). Ili uchenjuaji ufanyike Hatua mbili zinatakiwa...
Naitwa Juma Paul kija mhitimu wa taaluma ya ukemia upande wa madini nafanya uchenjuaji wa madini ya dhahabu kwa mfumo wa vat leaching kwa ufanisi na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto za copper, sulphur, zinc, iron na silver nakuto dhahabu yenye purity ya asilimia 90 na kwendelea...
Habari wakuu,
Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
Habari zenu wajumbe,
Naomba kufahaam kuhusiana na kozi ya mineral proceesing and extractive metulugy katika fursa zake za ajira pamoja na namna gani unaweza kujiajili.
Natanguliza shukrani zangu kwenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.