Uchenjuaji wa madini ya dhahabu

The Inspire55

Member
Oct 14, 2020
12
22
Vat leaching plant...
Mfumo wa uchakataji wa madini ambao hufanya uzalishaji kwa Asilimia 70%. Ni mfumo ambao unatumia utenganishaji wa dhahabu na na madini mengine kwa kutumia kemikali(chemical seperation method, kwani kwenye makinikia yenye dhahabu kuna madini mengine yenye changamoto na ambayo yana react na sayanaid na kuvunwa pia(cynocides) hivyo ni akili itumike ili madini hayo yasi athiri uchakataji wako.

Unapo ozesesha lundo lenye copper nyingi na dhahbu ya kawaida usipo tumia dawa za kumuua coper na kumdensify dhahbu inamaana utamvuna coper kwanza kwani coper ina react haraka zaid ya dhahbu na kumuacha dhahabu mwingi kwenye kapi ndio maana unakuta unapima kapi baada ya uchakataji unalikuta lina grade kubwa ya dhahabu.

Changamoto nyingne ni kama, kukutana na solution ya njano kwenye wakati wa uzalishaji hii ni ni Sulphur ilio associate na zinc pamoja na asenic ila zinc ilio chin ya ppm 18 haiwez leta madhara katik uzalishaji kinach takiwa ni matumiz ya kemikali na ppm ili kuitatua changamoto hii.

Changamoto nyingne pendwa ni kukutana na povu jingi katik matenk ya uzalishaji, buren pamoja na head. Hii inamaana umezidisha oxidising agents hivyo na madhara yake ni kwmba dhahbu alie kwenye udongo akiliact na oxidising agents nyingi anapotelea kama mvuke hivo lundo la ppm 5 ukilipima baada ya masaa 24 ya uozeshaji si ajabu likasoma 2ppm au kama ulitegemea kilo ukapta gram 400.

Umakini ndio msingi na nguzo ya matokeo chanya. Kwa mahitaji ya mkemia, mtalaam wa ujenzi wa processing plant, utafiti, pamoja na ushauli tuwasiliane
0769261057
0753021057
 
Vat leaching plant...
Mfumo wa uchakataji wa madini ambao hufanya uzalishaji kwa Asilimia 70%.

Ni mfumo ambao unatumia utenganishaji wa dhahabu na na madini mengine kwa kutumia kemikali(chemical seperation method, kwani kwenye makinikia yenye dhahabu kuna madini mengine yenye changamoto na ambayo yana react na sayanaid na kuvunwa pia(cynocides) hivyo ni akili itumike ili madini hayo yasi athiri uchakataji wako.

Unapo ozesesha lundo lenye copper nyingi na dhahbu ya kawaida usipo tumia dawa za kumuua coper na kumdensify dhahbu inamaana utamvuna coper kwanza kwani coper ina react haraka zaid ya dhahbu na kumuacha dhahabu mwingi kwenye kapi ndio maana unakuta unapima kapi baada ya uchakataji unalikuta lina grade kubwa ya dhahbu.

Changamoto nyingne ni kama, kukutana na solution ya njano kwenye wakati wa uzalishaji hii ni ni Sulphur ilio associate na zinc pamoja na asenic ila zinc ilio chin ya ppm 18 haiwez leta madhara katik uzalishaji kinach takiwa ni matumiz ya kemikali na ppm ili kuitatua changamoto hii.

Changamoto nyingne pendwa ni kukutana na povu jingi katik matenk ya uzalishaji, buren pamoja na head.

Hii inamaana umezidisha oxidising agents hivyo na madhara yake ni kwmba dhahbu alie kwenye udongo akiliact na oxidising agents nyingi anapotelea kama mvuke hivo lundo la ppm 5 ukilipima baada ya masaa 24 ya uozeshaji si ajabu likasoma 2ppm au kama ulitegemea kilo ukapta gram 400.

Umakini ndio msingi na nguzo ya matokeo chanya.

kwa mahitaji ya mkemia, mtalaam wa ujenzi wa processing plant, utafiti, pamoja na ushauli tuwasiliane
0769261057
0753021057
 
Sawa umeeleweka, uko maeneo gani..uniinganishe na wateja nami nikutafutie wahitaji.

Nauza chemicals zote, Sodium Cyanides, Peroxide, Caustics etc.

0699256064
 
Dhumuni la kuweka hapa ili utoe majibu hapa Kwa faida ya wengi

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
watu wengine wapo kubeza kila kitu na watu wengine hatupo kubezwa na kila mtu, muhitaji anajulikana na mpoteza muda anajulikana.

Samahani ndugu yangu, naomba tuwasiliane ikiwa unauhutaji na jambo hilo.

Asante mkuu.
 
Ili kutokuzidisha oxidizing agent, inatakiwa uweke kipimo gani Cha peroxide kwenye burren ya tani 30.
 
Kuna anayeyafahamu haya Material, Upatikanaji wake na bei zake sokoni???
IMG_20230521_154444.jpg


IMG_20230521_154425.jpg
 
Ni kama kiasi gani wastani
Kujenga sina uhakika maana sijawahi kujenga,ila nahisi itakua si chini ya 50m+ kulingana na miundombinu ambayo hua naiona.

Na kuhusu mtaji isiwe chini 200m ili upate team kubwa ya watu wa kukuletea makinikia.
 
Back
Top Bottom