Nimekuwa na tatizo la Mmba mgongoni kwa muda mrefu, zilianza kama mabaka niliyapata nikiwa nafanya mazoezi, benchi nililokuwa nalalia kwenye mazoezi lilinikwangua likaacha michubuko baadae ikageuka kuwa mmba. nimetumia vidonge kwa mwezi mzima, zikaisha, lakini zikarudi tena, nikatumia tena...
be smart, ndoa ya kikatoliki haipinduliki mwisho wa siku wewe utaonekana mzinzi tu na huyo mzee. sasa mkomalie mzee akutafutie kapagala kako na mwanao mtarajiwa, mwambie akupe msingi wa maisha biashara au chochote cha kukuingizia kipato. muambie ukweli mzee hata weza kukuoa,ila anaweza kuendelea...
Acheni figisu, mnauhakika gani kama sumatra wako perfect kiasi hicho, what if kama wao ndo majipu, ! Fanyeni uchunguzi yakinifu kabla hamjahukumu watu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.