Inasikitisha sana,wanao jihusisha na biashara hiyo haramu tunaishi nao,cha muhimu ni sisi wananchi ni kushirikiana na serikali yetu kuripoti hizi mambo.tanzania itaendeleza na watoto waleo
Swala la lissu linapoelekea linataka kutumika zaidi kisiasa na kunufaisha upande fulani na kuchafua upande fulani.
Maswala ya Uhai na siasa mimi sipendi nataka nione haki ikitendeka kijani iwe kijani na kaki iwe kaki.afya ya mtu imeingiliwa na siasa ndo maana Sikuzinaenda linapungua uzito...
.zilla afanye staili zake zile zile mpo watu waelewe yeye ndo mwenye hakimiliki.dogo kweli kamfunika jamaa. Zilla marekani mwingi afanyi tena zile street rap.mfano mdogo wa zilla na b.nass ni futur na desiegner,future asingeweza kaza desiigner angemuovertake na kujimilikisha staili ya ya uchanaji.
Godzill
Godzilla alichokosea nikumuachia billnass atembelee mitindo yake na swaga yaani kutembelea nyota ya zila to fullest. Godzilla alitakiwa akome nae kistaili mpk watu wangekuwa zila is the owner wa staili hiyo na na swaga. Ila tusimlaumu billnass yawezakuwa zila ni Rose modeli wake si ka...
magufuli katoa hiyo ahadi asilimia mia inatekelezeka kabisa,sema hiyo ahadi ni jiwe takatifu kwa upinzani sababu alisema atatoa ndani ya awamu yake ya kwanza hakusema mwanzoni au mwishoni ila itatoka awamu hii hii.nasema itakuwa jiwe cos watu watapewa wakati tunajongea na kukaribia msimu wa 2020...
Tangia huyu bwana aanzishe vita ya madawa ya kulevya ndio siku bundi wa yeye kutokubaliwa au kubalika kwa baadhi ya watu alitua juu ya paa lake.nakumbuka kabla ya kuanza vita ya madawa alikuwa anaondoka na kijiji kila akifanya mikutano na baadhi ya wakazi wasehemu za dar nakutatua kero zao moja...
mange angekuwa amejikita kwenye siasa na kuibua maovu iwe yeye au kwa kutumiwa ningekuwa na mfatilia lakini kwa upande wangu na muona kama mtu aliye changanyikiwa pia huwa na washangaa wale wa mange kasema cjui ni watu wa aina gani.haiwezekani mtu anatumia lugha chafu anagombana na watoto kama...
unajua ommy kumshtaki diomond hatoweza kwasababu diomond hamna sehemu alipo msema mwenzie waziwazi kwa jina katumia mafumbo,sasa ommy katumia picha vibaya hivyo achomoki hiyo kesi,lazima apatikane na hatia kabisa.
Kiukweli mond na kiba hamna kipya wanacho Fanya ila majina yao na fanbase Kubwa inawabeba ila kuna wasanii wanafanya kazi mf aslay nyimbo zake nzuri hazina mbwembwe za beats maneno ya naskika vzr na melody,akina bright baraka Beka n.k. wanafanya mziki mzuri hadi dmpoz kakumbwa na upepo wa kiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.