Recent content by The Hacker 115

  1. T

    Syphilis inatibika kwa dawa zipi?

    Hapo unaangalia stage mkuu, itabidi uwe vizuri kugundua zile features ambazo mgonjwa anakuwa nazo kwenye kila stage. For primary and secondary stage tumia banzathine penicillin, ila for late and tertiary stage tumia penicillin G.
  2. T

    Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  3. T

    Time Perception

    Time is an illusion in our own minds.
  4. T

    Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

    Habari yako mkuu. Mimi nipende kutoa mchango wangu kidogo juu ya sababu za kutopata UKIMWI ilihali unafanya tendo la ndoa na muhathirika, 1. Kwanza kabisa kisayansi kuna group la watu wachache Sana inakadiriwa Kuwa 1% kwenye mkusanyiko wa watu wa eneo moja , ambao wamezaliwa hawana au...
  5. T

    Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

    Habari yako mkuu. Mimi nipende kutoa mchango wangu kidogo juu ya sababu za kutopata UKIMWI ilihali unafanya tendo la ndoa na muhathirika, 1. Kwanza kabisa kisayansi kuna group la watu wachache Sana inakadiriwa Kuwa 1% kwenye mkusanyiko wa watu wa eneo moja , ambao wamezaliwa hawana au...
  6. T

    TEKNOLOJIA YA ROBOTI: midoli ya kufanyia mapenzi

    Nimekuwa nikipitia makala nyingi za tekinolojia mbalimbali katika nyakati hizi za karne hii, ukiangalia kwa makini makala nyingi zinaenda kinyume na 'Naturality' , mfano mzuri ni kuhusu project ya bwana mkubwa Elon Musk, anajitahidi sana tena mno kutushangaza kwa uwezo wake mkubwa wa akili...
  7. T

    Mwenye kitabu hiki nakiomba

    Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
  8. T

    Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition

    Umeandika mada nzuri sana #davinc , hongera sana tuendelee kujifunza.
Back
Top Bottom