Recent content by the great wizard

  1. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hizi Programming job skills

    Don't say that just yet.. https://www.neurotech.africa/ https://sarufi.io/ https://sarataniai.com/ Last week tulikua na event ya Generative AI pale Stanbic bank Tan house, Pia kuna AILAB Tanzania AI community.. muamko ni mkubwa. Neuraltech na sarufi ni moja ya mifano tu ya kuonyesha muamko...
  2. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapenda Games? GTA VI inakuja ikiwa na mission kibao

    Kuna tetesi zinasema kwamba price yake itakua ni from 100$ Pia kuna tetesti zinasema itakua ni rental game 5$ per hour
  3. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

    Mpe gmail yenye 2FA :p:p
  4. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kutuma email moja kwenda kwa email addresses 10000+

    hapo unaweza andaa simple script kwa kutumia python smtplib
  5. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu programming language

    Msaada kufanya deserialization over socket java. client ata serialize object then kutakua na db server ambayo itafanya deserialization na ku insert data kwenye db.
  6. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi ni bora kati ya ku-jailbreak ps4 au kuto-jailbreak

    ngoja niichk
  7. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi ni bora kati ya ku-jailbreak ps4 au kuto-jailbreak

    mkuu naomba link ya retailers wa gamepass xbox
  8. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi ni bora kati ya ku-jailbreak ps4 au kuto-jailbreak

    okay
  9. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

    Air condition ?
  10. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi ni bora kati ya ku-jailbreak ps4 au kuto-jailbreak

    Kuna technique ya ku jailbreak ps4 ?
  11. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    yes kaka
  12. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Sawa chief weekend utanchk bhas
  13. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    poa poa
  14. the great wizard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIRUS ATTACK ".MOIA FILE EXTENSION" HOW TO DECRYPT INCRYPTED FILES?!

    Same thing hii just ni moja kati ya variants nyingi za DJVU ransomware, wakati encryption inafanyika ulikua offline au online?
Back
Top Bottom