Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

Kwanza haiitwi AC inaitwa IC, kutokana na uzoefu inawezekana mkubwa kukawa na hitafu ktk components nyinginezo Kama capacitor, resistor au diode ambazo zipo kwenye power section sema fundi kaamua kukwambia IC ili akupige zaidi au hajui hitilafu ilipo,vyovyote iwavyo inarekebishika na wala sio gharama kubwa sana
oya man naomba unisaidie maana simu yangu pia ina tatizo hilo hilo ila niko arusha
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau.

Nimekuwa na simu yangu iphone 6, lakn ghafla juzi hapa, nilitoa kwenye charger but nilipoiplug in baada ya muda ikakataa kuwaka na kuchaji.. Nimeipeleka kwa fundi kaniambia inarekebishika.. Lakn siwaamini sana mafundi simu. Naomba mnieleweshe kabla ya kufanya maamuzi.

Nawasilisha
Air condition ?
 
Kwanza haiitwi AC inaitwa IC, kutokana na uzoefu inawezekana mkubwa kukawa na hitafu ktk components nyinginezo Kama capacitor, resistor au diode ambazo zipo kwenye power section sema fundi kaamua kukwambia IC ili akupige zaidi au hajui hitilafu ilipo,vyovyote iwavyo inarekebishika na wala sio gharama kubwa sana
Nimeki pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom