Dugu wananchi wenzangu nawaombeni msifanye makosa Siku ya tarehe 28 kuchagua Tundub Lissu kapige kura ya Haki kuondoa uongozu zalimu wa Magufuli Uongozi wa mabavu na unyanyasaji na ukikukwaji mkubwa wa haki za binadamu tuukatae na tuweke historia Tanzania tuitoe Ccm madarakani mana hii nchi sio...
Swali kwa Mh Tundu Lissu
Kuna wafanyakazi kipindi cha East Africa Community iliovunjikaga 1977 hadi leo wazee wa watu hawajalipwa staiki zao na wengine tayari walitangulia mbele za haki.
Je, tukikupa dhamana kama Rais Utatatuaje hili tatizo kwa kuwalipa Fedha zao walizozulumiwa na CCM japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.