Recent content by The Good Guy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    You sound serious, sio kama scam wengine
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

    Kwamtazamo wangu hujasoma vizuri hii thread. Amesema mwanamke aliondoka June an kurudi August. aliporudi walikaribishana kiuwana ndoa. baada ya wiki mbili mwanamke akamwambia ana mimba yake. baada ya miezi kadha jamaa akashika kadi akagundua mimba ni ya mwezi wa sita. My Take : hiyo mimba sio...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

    Una uhakika DNA itaonesha mtoto ni wake kwa sababu unahakika zinachakachuliwa. Sababu ya kwa nini zinachakachuliwa unaijua pia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani iwapo dada yako au binti yako kapigwa na mume wake?

    Iwapo utamshika kwa ajili ya kuji defend badala yake akaamua labada kukung'ata ili umuachie. utachukua hatua gani?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani iwapo dada yako au binti yako kapigwa na mume wake?

    Je ikitokea mmegombana alafu mwanamke akaanza kukupiga, utatafanya?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Namba hii 0657105692 ni tapeli

    Tumesha mjua huyo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukimfumania mkeo/mumeo akichepuka?

    Utampongeza mkeo au jamaaa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Utani sio kwenye mapenzi jamani

    Hainingii kichwani hii
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kijana usipofanya mazoezi yakutongoza wasichana wazuri utaishia kuwaona tu

    Wewe umeshafanya mazoezi mangapi?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania, Wakenya, Waganda tuna maumbile ya kiume madogo

    Nina mashaka na hawa watafiti
Back
Top Bottom