Watanzania wapi? acha ujuha ongea kwa niaba yako mm mzazi wangu amestaafu mwaka wapili sasa unategemea nini? unatete ungese wako hapa *** to the hell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile enzi ya vyeti feki alikuja na mjadala wa ili cheti kionekane cha zamani unachukua majani ya chai na maji unamwaga kwenye cheti kinaonekana cha mwaka wa 47
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wengine hawakutajwa na hata kama walitajwa majina yao mbona mbowe ikawa ni station ya mabasi? Makonda ni mpumbavu kuwa kutokea katika nchi hii familia ya mbowe wajihadhari sana na hawa wakina Makonda yawezakana mwanae akapekewa huu ugonjwa tu ili wapate cha kusema najiuliza kwanini Makonda...
Nanukuu maneno aliyowahi kusema BASHIR ALLY kwa baba askofu mkuu KKKT PhD shoo kwamba "VIJANA WETU HAWAKUANDALIWA KUWA VIONGOZI ndiyo haya ya Paulo Makonda aka bashite kuwa kiongozi mbovu kuwahi kutokea katika sayari hii, wewe ulifundishwa na yeye hakuwahi kusoma somo la uongozi sasa huo ufariji...
Hivi wakati unaamka asubuhi nini kitu cha kwanza huwa unafanya ili mambo mengine yaendelee?ukiweza kunipa jibu nitakupa mrejesho wa ulichoandika hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndumilakuwili ni sawa na kusema mtu asiyeaminika mtu asiyekuwa na msimamo, mchumia tumbo "DALALI WA KISIASA" mguu mmoja nnje mwingine ndani lolote laweza kutokea kukaa naye meza moja ni inahitajika kila tahadhari na timing za kutosha maana kama ikulu kapigiwa simu mbona anaenda mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.