Recent content by The Elephant

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Kila mmoja afunge kwa imani yake milango itafunguka.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Kuna awamu ni waasisi wa utekaji na bado ni washauri wa awamu zingine zilizofuata
  3. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

    Huyu jamaa inawezekana ndo kamwingiza Mpina kwenye mtego. Inawezekanaje hajui kipengele cha kugombea urais kwenye chama?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Akistaafu mtandao utakuwa bin taaban
  5. T

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Siyo wewe ndo classmate mvuta bangi na kama vile unamwonea wivu kiongozi wa chuo?
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwamposa achangia milioni 50 Kampeni za CCM Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwa hiyo wameanza kutubu na kuanza kufuata njia iliyo nyembamba?
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwamposa achangia milioni 50 Kampeni za CCM Uchaguzi Mkuu 2025

    Mtumishi badala ya kuchangiwa anachangia huyu sasa wakisema hizi taasisi zilipe kodi atajitetea na nini?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Tulia kabla hajawa Spika

    Ile sura ya sasa hivi kapata wapi? Labda kwenye kile kiti?
  9. T

    JamiiForums Tanzania CWT yamshukuru Rais kwa kuwaongezea walimu mshahara

    Labda wewe ndo uko nyuma ya muda, ongezeko lilitangzwa Mei mosi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Aliyetekwa akutwa ameuawa na kuzikwa nyumbani kwa mtu Tabora

    Hauko serious hata kwenye mambo ya msingi
  11. T

    JamiiForums Tanzania Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

    Na sala itajibiwa na yeye akiwemo! Kama yeye ni msabato ninamwelewa kwa sababu hata wakati wa Yesu wayahudi waliheshimu sabato kuliko mafundisho ya Yesu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

    Mtu mzima kujiingiza kwenye ugomvi wa watu si jambo rahisi, kiuchumi Russia na marekani wako tofauti sana
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Bora Ya Siku iliyoteka Mitandaoni na anga la Siasa Za Tanzania. Inatembea mitandaoni kama Upepo wa Baharini

    Another innocent fingers typing on behalf of a rotten pumkin head
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Ingekuwa phd ya uwongo sawa hiyo ya sheria mbele ya Kibatala itakuwa PH
Back
Top Bottom