Recent content by The Coin Man

  1. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Hadi huruma. Samia Suluhu kawa mdogo. Kifo kisikie kwa jirani

    Tutendee haki . Watz hatuna msiba siye. Kifo ni kifo tu
  2. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

    Kweli kabisa . Hasa ukizingatia kifo ni kifo tu
  3. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Kifo ni kifo tu
  4. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya Lissu kupigwa risasi ndiyo Mume kaondoka!! ? Jitafakari ujumbe

    Kifo ni kifo tu
  5. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Endapo.... endapo.... Na ikitokea tu .cha oktoba 29 kinawaka mara 2 yake . Safari hii tunachoma mpaka lumumba
  6. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Habari, gari kama hii naipata wapi kwa hapa bongo au hata kuagiza 0 km

    Kila la heri. Ukitaka mfanyakaz wa kuosha nicheki
  7. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

    Vipo hivi kila siku...VIJIMAMBO ..
  8. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Afariki baada ya mpenzi wake kumnyonya shingoni

    Mautamu utamu hahaaa
  9. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Kutoka Hadhi ya akina Warioba, Mpango, Hadi Ndejembi asiye na uzoefu wa Siasa walau wa miaka 10, ELIMU ya Hapa na Pale, NCHI inachezewa sana hii

    Hakuna hata neno uislam limetajwa ni wewe tu na hisia zako za chuki na hasira. Ukafiri ni nini na ukenge ni nini mbuzi wewe
  10. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Ruvuma yamuomba Radhi Samia kwa kufanya kazi na Dkt Nchimbi

    hatarii njaa haijawai kumuacha mtu salama
  11. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Sio kila mwenye mamlaka hustahili au anastahili mamlaka hayo

    Katiba ni sheria. Haisimamiwi bali inatumiwa na wanaongoza ili waongoze kwa haki . Samia anaitawala hii nchi kwa hisia zake mwenyewe hajui hata maana ya katiba wala demokrasia.
  12. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Sio kila mwenye mamlaka hustahili au anastahili mamlaka hayo

    wenye akili walibuni katiba na sio demokrasia ili watua wa ovyo wakipata mamlaka wawe werevu kupitia katiba inayotoa muongozo wa namna ya kuongoza
  13. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania NCHIMBI AJITOKEZE AU SERIKALI ISEME ALIPO.

    EN sio mwanaccm mzee . Huyu kashafukuzwa uanachama ia bado n VP mpaka tarehe 4 septemba japo haudhurii kazini kwasababu za kiofisi yaan kumpisha kaimu VP. Soon utamuona tarehe 4 kuwa nasubira
  14. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino gharama mia tano imeniponesha

    Meneja masoko wa B29 nakuona upo kwenye ubora. Vipi ikitokea nimemeza povu la B29?
  15. The Coin Man

    JamiiForums Tanzania Shetani hana Rafiki: Baada ya Nchimbi kushughulikiwa ni yupi mwingine anafuatia (WHO IS NEXT?)

    yeyote kuanzia sasa atakeyenyosha mkono(handshake) kumpa Samia
Back
Top Bottom