Recent content by the boss13

  1. the boss13

    Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

    What a shame mbowe gaidi bora wangempa ML tungeelewa ugaidi dah hapa mama umechemka sana umefuta mazuri yote pls mwachien huyu mtu hana kosa
  2. the boss13

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Benisaanane lisuu kupora pesa kwa wafanyabiashara wakimuacha makonda kutakuwa kunaonesha double standard makonda akamatwe ana meng sana ya kujib kwan aliumiza weng sana lengai tayar next makonda pls
  3. the boss13

    Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

    Nyani nakusapot 100 % wapinzan hawajielew ivi walitegemea nn kwa tume ile ile ilioteuliwa na watu wale wale tena mtu alisha sema anamlipa mkurugenzi then mkurugenz amtangaze mpinzani hiv hawa ndugu zetu walitegemea kutangazwa wameshinda uchaguzi kwa tume hii mkurugenzi ni kama tena hata...
  4. the boss13

    Watapokosa fedha za Miradi mbalimbali kwa kunyimwa misaada na mikopo, wataanza kulaumu Wapinzani hata kama Bunge litakuwa lao

    Lots of disappointment kwenye huu uchaguzi imekuwa ni police against wananchi hakuna uchaguzi toka tumepata uhuru umekuwa hivi haki imeporwa waziwazi ni aibu aibu aibu. Wapinzan wajifunze Bila tume huru ya uchaguz hakuna uchaguzi.
  5. the boss13

    GE2020 Mzee Kikwete: Ninakopanga sijafukuzwa

    Kama ulimsikiliza vizur alisema aliwaambia sarcastically so sio kwel kwmb amepanga
  6. the boss13

    GE2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

    Inabid a skip sehem moja ili aende Moshi ni muhim sana kuwahi Moshi
  7. the boss13

    GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Nec wamempa tundu popularity ya bure now kila Mtanzania alikuwa anasubiri kwanini hawamteui Lissu hivi inaingia akilini mtu kakutana na mamilion ya Watanzania then wawe feki kwamba inabidi wahakikiwe ajabu sana
  8. the boss13

    GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Tume huru ni muhum sana kwa Tanzania ya sasa tunajidanganya hakuna uchaguz wa huru na haki
  9. the boss13

    Tundu 'Frankenstein' Lissu

    Mmmh ulisema??? Huyu mtu haogopi tena sijui ni nin mtamfanya mpka aogope tena
  10. the boss13

    Tundu 'Frankenstein' Lissu

    Dah Mungu mkubwa kuna waliokoment hivi ona sasa yuko wap na anafanya nn tumshukuru Mungu kwa kila jambo yeye ndo ajuae kesho yetu sio mwanadamu
  11. the boss13

    Ni wakati sasa wa JM, NP na MN kuungana kwa masilahi mapana ya Taifa!

    Nafkir hilo liwe Funzo kwa vijana wote hasa wale wa ccm nan alijua in less than 5 year Nape kinana na January they will be nothing My advice be humble play nice politics huwezi jua litakalo kutokea mbeleni usiwe adui na yoyote cos kesho mnaweza kuwa marafiki vijana tujifunze kwa hili...
Back
Top Bottom