Recent content by The bos

  1. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    ww mjinnnga sana hujui unachokifanya wala kukijibu mods hawez nipa ban mm watakupa ww.
  2. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    kwa lipi
  3. The bos

    JamiiForums Tanzania Bondia Francis Cheka ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kumpiga Meneja wa Baa

    very sad.still has a chance to appeal
  4. The bos

    JamiiForums Tanzania JWTZ kulinda amani na usalama Uchaguzi Mkuu

    swala si kuwa ktk sheria au website za majeshi swala ni utendaji unapokuja ndo utajua majukumu yao.kwasasa ukisoma utaambiwa kaz ya jwtz ni kulinda mipaka.who said?
  5. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    ulitaka aone babaako au.ndo mm nimeona ninyi chadema mnajifanya mnajua sana kuongea sasa nasi pia tunajua msitegemee tutakaa kimya tena mkija kwa ngum nasi twarusha ngum mkija iwa matusi hivyo hivyo mkitoka bungen nasi twatoka paka tutafika tu
  6. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    au credit manager wa chadema saccos mzee wa kujikopesha ndo hazina
  7. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    usilolijua mzee utaumbuka ukilishabikia nina sababu kwann nimemwambia hivyo sasa naww unaleta ukimbelembele hapa kitu hukijui
  8. The bos

    JamiiForums Tanzania Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?

    kusud la Mungu kutuumba ni ili tumjue na kumwabudu yeye tuishi maisha yanayompendeza
  9. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    ww si umapenda sifa poa tu endelea na misifa yako
  10. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    kichwa chako kama kokoliko liangalie kwanza unapenda sifa tu.umekuja kukosoa uandishi umekuja kuangalia nn kimeandikwa.
  11. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    ndo hao wapo nimekuambia baadh tu wapo weng
  12. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    logically unaonesha kabisa haupo sawa mkuu.yan jiwe na binadamu kwel.I would have understood if may be u mentioned hata jina tu la mtu
  13. The bos

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa kisiasa, CCM ina hazina sana ya viongozi

    Jaman najua mtakuja na katusi na lugha za kejeli mm huwa sijari.Kwangu nadiriki kusema ccm ina hazina kubwa sana ya viongoz bila ya kuwatafuta kwa touch.mwangalie mwigulu nchemba.nchimbi.makamba Junior maguful.membe.lukuvi hawa ni baadhi sana ambao muda wwte wakiamshwa kuongoza nchi wanaweza...
  14. The bos

    JamiiForums Tanzania Livescore-Yanga Vs Ndanda FC 'WANA KUCHELE' 01/02/2015

    jaman ndanda wapo vizur yeboyebo mbona wanakimbizwa sna
  15. The bos

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumzunguka Dalali

    walimuokota wakitaka kujua namna ya trigger inavyofanya kaz waje na kihelele chao
Back
Top Bottom