Recent content by The Boldly

  1. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Aaaah aaanm aaah
  2. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Joyce Msuya

    Hongera kwake
  3. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Ukija na akili ya pombe hapa unaweza kulewa tena! 😂😂😂😂
  4. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ili ligi yetu iwe maarufu na mpira wetu Ukue, TFF zuieni uchambuzi na wachambuzi

    Hoja yako si sahihi. Lakini huwa najiuliza,hawa wachambuzi wamesomea urefarii?
  5. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Mkuu Tumia akili sasa naomba ukamilishe huu mpango wako🏃🏃
  6. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za Kariakoo Derby 11 Desemba 2021, nani kaupiga mwingi?

    Game ya sare hakunaga aliyezidiwa mbinu. Labda kama Simba SC alikuwa na shida na sare!
  7. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wafanyakazi wa TANESCO wananunua umeme ofisini?

    Kwani wao wanavyopewa unit za bure wewe unakosa za kununua?
  8. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba aizungumzia Wasafi Bet, asema yeye hana mpango wa kufungua kampuni ya betting kwa sababu dini yake hairuhusu, hajajua kuhusu dini ya Diamond

    Akiwa anaandaa hiyo aya basi na mimi naomba niandaliwe aya inayokataza kubeti
  9. The Boldly

    JamiiForums Tanzania TFF na GSM wamedhamiria mechi isichezwe: mabango bado yapo

    Unajua NBC wanatoa shilingi ngapi?
  10. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Kiukweli hili jambo haliniingii akilini. UKIMWI? Maana yake Hata Corona anaweza kuponya??
  11. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Punguza ukali wa maneno. Sina UKIMWI. Nauliza suala la kiroho. Inawezekana kweli mtu akaombewa na Mwamposa na kupona VVU? Kama ni kweli,watu wangekuwa wanateseka na ARVs?
  12. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Kwahiyo mtu akitaka kuponywa VVU atamkuta wapi Yesu? 🏃🏃🏃🏃🏃
  13. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Ni hatari tupu... Baada ya kuombewa hakwenda kupima?
Back
Top Bottom