#COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

Swali jingine la ziada kwa wasomaji walio na curiosity:

Hivi ni nini kinchopelekea mtu atengeneze mazingira ya kuhitajika n.A. Mtu mwingine, halafu at the moment mhitaji akitaka kwenda kumuona mwenye kutoa msaada, ambaye ndiye aliyetengeneza mazingira hayo ya kuhitjika, tena unnecessarily, anakutana naye muhitajika huyo kwenye korido akiwa t ayari ameshatoka ofisini, au anakuta hayupo kabisa ofisini, ilhali yupo around mazingira ya ofisini?
 
UPDATE: WEDNESDAY 07 DECEMBER 2021

MATUKIO MAWILI YA MUHIMU YANAYOMHSU KAIMU MKUU WA IDARA AMBAYE TAARIFA ZAKE ZIMEELEZWA HAPO JUU

TUKIO LA KWANZA: KUITWA OFISINI KWA MWI NA KAIMU MWI NA KUKUTA OFISI IKO WAZI KAMU MWI AKIWA HAYUMO OFISINI


Tukio la kwanza lilitokea January 2021, siku ambayo barua za mhusika zilirudishwa kwa kosa la kutokuwa na anwani sahihi. Awali, mhusika hakuona haja ya kuliongelea tukio hili kwa sababu alikuwa analiona kuwa halikuwa na maana yoyote isipokuwa kwa sasa, kwa mbali linaonyesha dalili kama lilikuwa na maana fulani na za muhimu

Baada ya barua zake kuwa zimerudishwa, KMMWI alitumwa na KAIMU kwenda kumwita mhusika ofisini kwake ili aende ofisi ya MWI kwa ajili ya maongezi ambayo yalihusiana na barua hizo

Mhusika aliondoka ofisini kwake muda huo huo, huku wakiwa wameongozana na KMMWI

Wawili hao wakiwa wameongozana kuelekea ofisini kwa MWI, mhusika hakumbuki vizuri KMMWI alielekea wapi baada ya hapo, lila hadi mhusika anafika ofisini kwa MWI, KMMWI alikuwa hayupo ofisini kwenye kiti chake. Japo walikuwa wameongozana, KMMWI badaaye alipitia sehemu nyingine, akimwacha mhusika akiendelea kuelekea ofisini kwa MWI

Mhusika alipofika ofisni kwa MWI alimkuta kijana mwingine staff, ambaye yeye si mhusika wa ofisi hiyo, ila ni staff

Ni kijana ana kama matatizo kidogo ya ki-afya na si mara zote huwa anafika ofisini, ila siku hiyo alikuwa amebahatika kuja ofisini

Mlango wa ofisi ya MWI ulikuwa umefungwa, na mhusika aliposhika kitasa na kuufungua, hapakuwa na mtu ndani. Hata KAIMU MWI ambaye ndiye alikuwa ameagiza mhusika aitwe, naye pia hakuwamo ofisini kwake

Baada ya kuona ofisi ya MWI haina mtu, hakuingia bali alibaki kibarazani akiongea na yule kijana aliyekuwa amekaa kwenye ofisi ya KMMWI. Wakati huo ukarabati ndiyo ulikuwa umeshaanza siku kadhaa nyuma, na viti vilivyokuwa ndani ya ofisi ya MWI, vilikuwa vimevurugwa vurugwa utadhani kuna watu waliwahi kufanyia mazoezi ya mieleka humo. Kwa ujumla ofisi hiyo haikuwa katika mazingira mazuri sana ambayo watu wangeweza kufikiria kufanyia maongezi yao humo



HATIMAYE KAIMU MWI AWSILI OFISINI HAPO SIKU HIYO


Baada ya takribani dakika 3-5 hivi, KAIMU MWI aliingia, huku KMMWI akiwa bado haonekani ofisini hapo

Mhusika na KAIMU MWI waliingia ofisini kwa MWI wakaongea na hatimaye kumaliza maongezi yao, na baada ya hapo mhusika alitoka na kumkuta kijana bado yupo pale ofisini huku KMMWI akiwa bado hajarudi tena ofisini hapo

Kwa hiyo kwenye maongezi haya, KMMWI alienda akamwita mhusika halafu baada ya hapo (KMMWI) akapotea moja kwa moja hakuonekana tena muda wote; hadi maongezi ya mhusika na KAIMU MWI yalimalizika alikuwa bado hayupo kwenye kiti chake

Hili tuliite sasa tukio la kwanza



TUKIO LA PILI: TAARIFA KUHUSIANA NA UWEPO WA MKUTANO WA GHAFLA WA KWENDA KUPIGA KURA; ZILIZOKUWA ZIKISAMBAZWA KWA MDOMO NA MTU ALIYEKUWA ANAPITA KWENYE KORIDO


Mkutano huu ulifanyika baada ya taarifa zake kuwa zimesambazwa na mtu (staff) aliyekuwa anapita kwenye korido akiwajulisha watu kuwa muda wa kupiga kura ulikuwa umefika, na hivyo watu wote walitakiwa wakusanyike kwenye chumba cha mkutano ili wakapige kura

Mhusika alishangaa kidogo kwa sababu hakuwa amebahatika kupata taarifa hizo kabla

Muda mfupi kabla ya taarifa hizo, UMEME ULIKUWA UMEKATIKA, na ilikuwa ni majira ya baada ya saa tisa alasiri

Ilikuwa ni mwanzoni mwa March 2021

Mhusika aliitikia wito huo na kwenda kupiga kura

Kura zilihusisha idara mbili ambazo zimeungana na kutengeneza MAJOR UNIT ambayo ni mpya kwenye taasisi

Kwa hiyo wapiga kura walitoka kwenye idara mbili ambazo zimeshaungana na kutengeneza MAJOR UNITN mpya

Mkutano huu ulikuwa chini ya usimamizi wa MKUU WA MAJOR UNIT, ambaye ndiye anayeiongoza hadi muda huul; na aliyekuwa anatafutwa kwa kutumia kura hizo, ni MKUU MWINGINE AMBAYE ATAIONGOZA MAJOR UNIT YA SASA BAADA YA KUWA IMEUNGANA TENA NA TAASISI ZINGINE MBILI ZILIZOKO NZEGA NA DODOMA

Kura zilipigwa na aliyeongoza kwenye kura hizo ni huyu KAIMU MWI ambaye taarifa zake zinaendelea kuwajieni hapa

BAADA YA ZOEZI LA KUPIGA KURA KUMALIZIKA

Mkuu wa MAJOR UNIT ambaye ndiye alikuwa anaongoza kikao hicho, alimkaribisha MAMA SENIOR ambaye kwa wakati huo alikuwa bado hajastaafu, (kwa sasa ayari ameshastaafu), kwa ajili ya neno fupi. MAMA SENIOR huyu alikaribishwa atoe neno kidogo hasa kuhusiana na maandalizi ya siku ya wanawake duniani ambayo wiki yake ilikuwa inaadhimishwa kwenye wiki ya kuanzia tarehe 08 March 2021

Baada ya hapo, MAMA SENIOR alichukua nafasi hiyo na kuanza kueleza mambo kadhaa kuhusiana na sikukuu hiyo na hatimaye allisema kuwa J3 ya wiki inayofuata kutakuwa na kusanyiko la wanawake wote wafanyakazi wa Taasisi hiyo litakalofanyikia ndani ya taasis yenyewe. MAMA SENIOR aliendelea mbele zaidi na kusema kuwa baada ya kusanyiko hilo siku hiyo, anapenda kuwakaribisha watu wote wa idara zote mbili zilizoungana na kutengeneza MAJOR UNIT mpya, wakusanyike tena kwenye ukumbi huo huo walimokuwa siku hiyo, kwa ajili ya kufahamiana zaidi, majira kuanzia saa tisa (9:00) alasiri

Kwa hiyo kusudi la kusanyiko hilo jingine ilikuwa ni wana idara mbili zilizoungana kujitambulisha kwa wenzao ili kuanza kufahamiana zaidi

Zaidi alisema kuwa kutakuwa na bites (hapa sasa ndipo alipompatia mhusika; angeweza asihudhurie kikao kama bites zisingetajwa. Tatizo la huyu mtu mimi huwa namweleza siku zote, anapenda mno kula, nadhani hata huwa anakula vyote. Huwa hawez kukosekana kwenye malaji)

Haya ndiyo mambo ya msingi aliyoongea MAMA SENIOR kwenye kusanyiko hilo, siku hiyo

Hatimaye kweli siku hiyo iliwadia, na ilikuwa ni siku ya kazi. Hata hivyo badala ya kusanyiko hilo kuanzia saa tisa kana ilivyokuwa imetajwa hapo awali, lilichelewa kidogo na kuanza kwenye ida ya karibia saa kumi (10:00), baada ya idadi ya wahudhuriaji kuwa imeridhisha

Watu walianza kwa kujitambulisha majina yao na nyadhifa huku vinywaji baridi, soda na maji vikiendelea kusambazwa

Mkuu wa MAJOR UNIT naye pia alikuwepo

Vinywaji vilivyoanza kupita zilikuwa soda, na hatimaye ilifuata supu ya nyama ambayo ilikuwa ni SELF SERVICE

Supu hiyo ilikuwa ni aina ile ambayo inajulikana siku zote kuwa ni FAVOURITE kwa mhusika (mtu anayependa malaji lazima watu wajue ni chakula gani huwa anapendelea; kula kula nako wakati mwingine kuna shida sana)

HITIMISHO

Baada ya kuwa ameona supu jioni hiyo, mhusika alishangaa kidogo kwa nini chakula kile kinaseviwa katika muda ambao siyo sahihuin sana kwake na kwa mazingira ya ofisini. Supu hiyo ilikuwa ni SELF SERVICE; unanyanyuka kwenye kiti chako, unaacha soda yako, unaenda unasevu halafu unarudi unaendelea na chakula na soda yako ambayo tayari ulikuwa umeshaifungua na kuanza kuinywa. Actually soda zilikuwa zinafunguliwa kwa opener na wale waliokuwa wanazisambaza. Unles iwe ni mtu ambaye hakuwa ame-opt kunywa soda siku hiyo; lakini kwa yule ambaye alikuwa na soda, tayari soda hiyo ilikuwa imeshafunguliwa

Baada ya mhusika kuona kuwa zoezi la supu ni self service

Alikagua kulia na kushoto watu aliokuwa amekaa nao karibu na kukuta mmojawapo ni swahiba wake wa karibu sana na ambaye alimwita na kumkaribisha pale ili wakakae wote kwenye meza moja, na mhusika alienda akakaa hapo baada ikiwa ni ishara yake ya kuitkia ukaribisho huo

Upande wa pili kulikuwa na mtu mwingine tena ambaye ni siri yake mwenyewe mhusika, asingependelea sana kumtaja hapa

Baada ya ukaguzi huo, alibugia fundo moja kubwa la soda yake, akaiweka halafu akanyanyuka kuelekea kwenye supu kama anataka kwenda kusave supu (hakuwa anakwenda kusevu supu) na kwa bahati nzuri bakuli za kusevia supu alikuta zimeisha, japo watu hawakuwa wengi sana, na zilikuwa zimefuatwa zingine. Baada ya hapo mhusika alitoka nje na kurudi moja kwa moja ofisini kwake na kuanza kuendelea na kazi zake. Dakika kama tano, baada ya mhusika kurudi ofisini, UMEME ULIKATIKA TENA.

Baada ya kuona hivyo, mhusika alitoka ofisini na kuelekea kwenye gari lake, akawasha gari na kunyoosha moja kwa moja nyumbani. Siku yake kwa siku hiyo ikawa imeisha kwa namna hiyo

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
BULLETS MISSING AGAIN. CAN'T POST TEXT DIRECTLY FROM PC. NEITHER IS HIS PC CONNECTED TO THE INTERNET NOR IS IT POSSIBLE FOR HIM TO ACESS THE INTENET VIA HOTSPOT, BLUETOOTH NOR USB TETHERING SERVICES
 
Now here's is a bulleted "combined post", a combination of the two most recent long posts already appearing above

UPDATE: WEDNESDAY 08 DECEMBER 2021

KUSHINDWA KUMUONA MKUU WA IDARA (MWI) OFISINI KWAKE BAADA YA MHUSIKA KUOGOPA KUFANYA HIVYO


Mhusika alirudi ofisini kutoka likizo, J3 ya tarehe 27 Septemba 2021
  • Alipofika ofisini kwa MWI alikuta barua ambayo baada ya kuisoma, aliona kuna haja ya kumuona MWI ili aweze kupata ufafanuzi kutoka kwake, wa mambo kadhaa kuhusiana na barua hiyo
  • Mhusika alimuomba Katibu Muhtasi wa MWI (KMMWI) ili ampangie nafasi ya kuonana na MWI, aidha siku hiyo au ndani ya wiki hiyo
  • Ombi lake lilikubaliwa
Baada ya hapo, mhusika hakuweza kupewa majibu ya ombi lake isipokuwa, zilianza kutokea coincidences za MWI na mhusika kuwa wanaonana kwenye mazingira ya nje (ndani ya jengo), aidha kwenye korido au kwenye veranda, na katika mazingira ambayo yalionyesha dhahiri kabisa kuwa
  • Mhusika na MWI wangeweaza kuongea kuhusu appointent hiyo wakiwa kwenye veranda au kwenye korido
  • Baada ya pale, mhusika na MWI wangeweza kuongozana wakiwa wawili kuelekea ofisini kwa MWI, possibly hata bila ya uwepo wa KMMWI
Kwa hiyo kilichokuwa kinakwepwa hapa ni maongezi ya mhusika na MWI kufanyika katika namna ambayo yangeonekana kuwa:
  • Mhusika aliomba appointment ya kuonana na MWI.
  • KMMWI kumpa appointment ya kuongea na MWI
  • KMMWI kumwita mhusika na kumruhusu aingie ndani ofisini kwa MWI ili wafanye maongezi
Picha iliyokuwa inatakiwa kuonekana ni kwamba mhusika alitakiwa aoenekane kuwa ni yeye mwenyewe tu alichukua jukumu la kuimfuata MWI ofisini kwake pasipo ruhusa wala appointment kupitia kwa KMMWI

Baada ya mhusika kuona hali iko hivyo, aliamua kuacha kufuatilia ombi lake hilo, kwa kujua kuwa pengine ipo siku atapewa appointment hiyo.

Baada ya kuwa zimepita takribani wiki tatu hivi, KMMWI pamoja na MWI wakatengeneza mtego mwingine tena mpya wa kumsababisha mhusika ajipeleke mwenyewe ofisini kwa MWI.


SET UP YA MTEGO WENYEWE
Wahusika wa mtego huu walikuwa ni MWI pamoja na KMMWI
Ilikuwa siku moja, asubuhi moja ya J3 ambayo hakumbuki tarehe yake, mhusika aliwasili maeneo ya ofisini
Baada ya kupandisha ghorofa ya kwanza, akiwa anaelekea ofisini kwake, kabla hajakifikia kitasa cha mlango wa ofisi yake akiwa bado yuko kwenye korido alisikia sauti kwa nyuma ikimwita. Alipogeuka alikutana uso kwa uso na KMMWI. Hapo sasa ikabidi asimame asiendelee mbele kuelekea ofisini kwake na kuanza kuongea naye, wakiwa kwenye korido
  • KMMWI alimuuliza mhusika kama katika kipindi cha hivi karibuni, amepokea barua yoyote ile ya PROMOTION
  • Mbali na kuuliza swali hilo, KMMWI alikuwa ameshika pia barua nyingine mkononi mwake
Na kwa sababu barua aliyokuwa ameipata mhusika baada ya kutoka likizo KMMWI naye pia alikuwa anaijua, lakini kwa wakati huo tena KMMWI alikuwa ameshika barua nyingine mkononi na ambayo alikuwa haelekei kuitoa kwa mhusika wakiwa kwenye korido
  • Bila kuingia ofisini kwake, mhusika aligeuza njia wakawa wameongozana na KMMWI kuelekea ofisini kwa MWI ili akaione barua hiyo
  • Baada ya kufika ofisini kwa MWI, KMMWI alimpa mhusika barua ile ile ya mwanzo ambayo aliikuta baada ya kutoka likizo ya mwaka 2021. Mhusika alishangaa sana
Baada ya hapo mhusika alimjibu KMMWI kuwa barua hiyo anayo ndiyo ile aliyoikuta baada ya kutoka likizo
  • Wakati huo MWI alikuwa ndani ofisini kwake na mlango wa ofisi yake alikuwa ameuacha wazi
  • KMMWI aliongezea kwa kusema “si ulihitaji kuongea na MWI, basi huyo hapo ingia uongee naye”
Mhusika aliimjibu KMMWI kwa kumwambia kuwa alichokuwa anataka kuongea naye MWI tayari ameshakipatia ufumbuzi kwa sababu ni siku nyingi tayari zilikuwa zimeshapita tokea siku alipoomba kuongea naye
HILI TULIITE TUKIO LA KWANZA


TUKIO LA PILI:
MHUSIKA AANDIKIWA BARUA NA KAIMU MWI YA KUKARIBISHWA KWENYE KIKAO CHA NDANI CHA IDARA

Kwenye wiki ya kuanzia tarehe 21-28, MWI wa siku zote alisafiri na hivyo kukaimisha mamlaka yake kwa ofisa mwingine. Huyu KAIMU MWI ndiye yule yule aliyewahi kukaimu Januray 2021, katika muda ambao barua za mhusika zilikuwa zikirudishwa kwa madai ya kukosewa anuani
  • KAIMU MWI huyu, alikuwa hajawahi kukaimu tena nafasi hiyo tangu alipokaimu January 2021, unless kama alifanya hivyo tena katika kipindi kile ambacho mhusika alikuwa yuko likizo
  • Ilipofika siku ya Ijumaa ya tarehe 26/11/2021, KAIMU MWI alifika ofisni kwa mhusika na kumuuliza kama amepata barua yake
  • Mhusika alisema hajafahamu kama ana barua na hajaipata
  • Baada ya hapo KAIMU MWI alimjulisha mhusika kuwa J4 ya tarehe 30/11/2021 wiki inayofuata kutakuwa na kikao kifupi idarani na yeye mhusika anatakiwa pia kuwepo
  • Zaidi KAIMU MWI alisema kuwa amemwandikia barua mhusika kuhusiana na kikao hicho na hivyo ataipata kupitia kwa KMMWI
Maongezi yao yaliishia hapo, na baadaye mhusika alipandisha juu na kukuta barua hiyo ikiwa imewekwa kwenye pigeon hole yake. Barua hiyo haikuwa na minutes za kikao, na wala haikuwa wazi sana ni nini hasa kitafanyiak J4 hiyo
Hatimaye J4 hiyo ilifika na kikao kikafanyika na kuisha salama.

Mambo kadhaa aliyoyaona baada ya kikao hicho kuwa kimefanyika
  • Kawaida vikao vya aina hiyo huwa vinafanyika MWI naye akiwepo, lakini yeye hakuwepo, japo alikuwa tayari amesharudi ofisini
  • Huyu aliyekuwa anakaimu yeye alikuwepo kwenye kikao. Hata hivyo kukaimu kwake kulikuwa tayari kumeshaisha; kuliishia siku ya Ijumaa tarehe 26/11/2021
  • Baada ya kikao, aliyekuwa KAIMU (kwa wakati huo hakuwa anakaimu tena) aliamua kupita pita kwenye baadhi ya maabara, kulikuwa na watu aliamua kuwapitisha humo
  • Mhusika yeye hakuwa mmojawapo wa watu hao, japo kulikuwa na dalili zote zilizoonyesha kuwa hata yeye ingependeza aungane nao kwenye zoezi hilo. Kwa hiyo mhusika hakushiriki kwenye zoezi hilo
HITIMISHO:
Hapakuwa na haja ya KAIMU MWI kumwandikia barua mhusika kwa ajili ya kuhudhuria kikao ambacho mara zote huwa anahudhuria hata kwa kupewa taarifa za mdomoni tu, taarifa za mdomoni tu kutoka kwake KAIMU MWI zilikuwa zinatosha. Mhusika hana huo u-special unaoweza kumlazimu hadi KAIMU MWI amwandikie barua kwa ajili ya kuhudhuria kikao na mabcho ni cha ndani tu. Mara zote barua za aina hiyo huwa zinatokea mara chache zikiwa zinahusiana na kazi, inapotokea labda anatakiwa afanye kazi ambayo ni special assignment na ambayo ina deadline fulani

Swala la kumwandikia barua mhusika, inaonyesha kama kulikuwa na kitu kingine cha ziada ambacho barua hiyo ilikusudiwa kuwa tahadhari ambayo ingekuja kutumika kama ushahidi hapo baadaye, just in case of anything

Pia ughafla wa maamuzi wa mhusika kushirikishwa kwenye kikao hicho, ndiko kulikompelekea KAIMU MWI afike tena ofisini kwa mhusika kumjulisha ana kwa ana juu ya kikao hicho, pamoja na kuwa alikuwa tayari ameshamwandikia barua. Hii ni kutokana na ukweli kuwa ubunifu wa mpango wa mhusika kushiriki kwenye kikao hicho ulikuwa ni wa ghafla na ambao possibly hapo awali, mpango huo haukuwepo

Mhusika anaona mengi sana, japo anaweza kuandika baadhi yake tu; machache; na asingependa kuliongelea sana swala hili kwa sababu kikao kilihusisha pia na watu wengine kadhaa kutoka nje ya taasisi.

MUBARIKIWE TENA NABWANA

MATUKIO MAWILI YA MUHIMU YANAYOMHSU KAIMU MKUU WA IDARA AMBAYE TAARIFA ZAKE ZIMEELEZWA HAPO JUU

TUKIO LA KWANZA: KUITWA OFISINI KWA MWI NA KAIMU MWI NA KUKUTA OFISI IKO WAZI KAMU MWI AKIWA HAYUMO OFISINI


Tukio la kwanza lilitokea January 2021, siku ambayo barua za mhusika zilirudishwa kwa kosa la kutokuwa na anwani sahihi. Awali, mhusika hakuona haja ya kuliongelea tukio hili kwa sababu alikuwa analiona kuwa halikuwa na maana yoyote isipokuwa kwa sasa, kwa mbali linaonyesha dalili kama lilikuwa na maana fulani na za muhimu

Baada ya barua zake kuwa zimerudishwa, KMMWI alitumwa na KAIMU kwenda kumwita mhusika ofisini kwake ili aende ofisi ya MWI kwa ajili ya maongezi ambayo yalihusiana na barua hizo
  • Mhusika aliondoka ofisini kwake muda huo huo, huku wakiwa wameongozana na KMMWI
  • Wawili hao wakiwa wameongozana kuelekea ofisini kwa MWI, mhusika hakumbuki vizuri KMMWI alielekea wapi baada ya hapo, lila hadi mhusika anafika ofisini kwa MWI, KMMWI alikuwa hayupo ofisini kwenye kiti chake. Japo walikuwa wameongozana, KMMWI badaaye alipitia sehemu nyingine, akimwacha mhusika akiendelea kuelekea ofisini kwa MWI
  • Mhusika alipofika ofisni kwa MWI alimkuta kijana mwingine staff, ambaye yeye si mhusika wa ofisi hiyo, ila ni staff
  • Ni kijana ana kama matatizo kidogo ya ki-afya na si mara zote huwa anafika ofisini, ila siku hiyo alikuwa amebahatika kuja ofisini
  • Mlango wa ofisi ya MWI ulikuwa umefungwa, na mhusika aliposhika kitasa na kuufungua, hapakuwa na mtu ndani. Hata KAIMU MWI ambaye ndiye alikuwa ameagiza mhusika aitwe, naye pia hakuwamo ofisini kwake
Baada ya kuona ofisi ya MWI haina mtu, hakuingia bali alibaki kibarazani akiongea na yule kijana aliyekuwa amekaa kwenye ofisi ya KMMWI. Wakati huo ukarabati ndiyo ulikuwa umeshaanza siku kadhaa nyuma, na viti vilivyokuwa ndani ya ofisi ya MWI, vilikuwa vimevurugwa vurugwa utadhani kuna watu waliwahi kufanyia mazoezi ya mieleka humo. Kwa ujumla ofisi hiyo haikuwa katika mazingira mazuri sana ambayo watu wangeweza kufikiria kufanyia maongezi yao humo

HATIMAYE KAIMU MWI AWSILI OFISINI HAPO SIKU HIYO

Baada ya takribani dakika 3-5 hivi, KAIMU MWI aliingia, huku KMMWI akiwa bado haonekani ofisini hapo
Mhusika na KAIMU MWI waliingia ofisini kwa MWI wakaongea na hatimaye kumaliza maongezi yao, na baada ya hapo mhusika alitoka na kumkuta kijana bado yupo pale ofisini huku KMMWI akiwa bado hajarudi tena ofisini hapo
Kwa hiyo kwenye maongezi haya, KMMWI alienda akamwita mhusika halafu baada ya hapo (KMMWI) akapotea moja kwa moja hakuonekana tena muda wote; hadi maongezi ya mhusika na KAIMU MWI yalimalizika alikuwa bado hayupo kwenye kiti chake
Hili tuliite sasa tukio la kwanza

TUKIO LA PILI: TAARIFA KUHUSIANA NA UWEPO WA MKUTANO WA GHAFLA WA KWENDA KUPIGA KURA; ZILIZOKUWA ZIKISAMBAZWA KWA MDOMO NA MTU ALIYEKUWA ANAPITA KWENYE KORIDO


Mkutano huu ulifanyika baada ya taarifa zake kuwa zimesambazwa na mtu (staff) aliyekuwa anapita kwenye korido akiwajulisha watu kuwa muda wa kupiga kura ulikuwa umefika, na hivyo watu wote walitakiwa wakusanyike kwenye chumba cha mkutano ili wakapige kura

Mhusika alishangaa kidogo kwa sababu hakuwa amebahatika kupata taarifa hizo kabla
  • Muda mfupi kabla ya taarifa hizo, UMEME ULIKUWA UMEKATIKA, na ilikuwa ni majira ya baada ya saa tisa alasiri
  • Ilikuwa ni mwanzoni mwa March 2021
  • Mhusika aliitikia wito huo na kwenda kupiga kura
  • Kura zilihusisha idara mbili ambazo zimeungana na kutengeneza MAJOR UNIT ambayo ni mpya kwenye taasisi
  • Kwa hiyo wapiga kura walitoka kwenye idara mbili ambazo zimeshaungana na kutengeneza MAJOR UNITN mpya
Mkutano huu ulikuwa chini ya usimamizi wa MKUU WA MAJOR UNIT, ambaye ndiye anayeiongoza hadi muda huul; na aliyekuwa anatafutwa kwa kutumia kura hizo, ni MKUU MWINGINE AMBAYE ATAIONGOZA MAJOR UNIT YA SASA BAADA YA KUWA IMEUNGANA TENA NA TAASISI ZINGINE MBILI ZILIZOKO NZEGA NA DODOMA

Kura zilipigwa na aliyeongoza kwenye kura hizo ni huyu KAIMU MWI ambaye taarifa zake zinaendelea kuwajieni hapa

BAADA YA ZOEZI LA KUPIGA KURA KUMALIZIKA

Mkuu wa MAJOR UNIT ambaye ndiye alikuwa anaongoza kikao hicho, alimkaribisha MAMA SENIOR ambaye kwa wakati huo alikuwa bado hajastaafu, (kwa sasa ayari ameshastaafu), kwa ajili ya neno fupi. MAMA SENIOR huyu alikaribishwa atoe neno kidogo hasa kuhusiana na maandalizi ya siku ya wanawake duniani ambayo wiki yake ilikuwa inaadhimishwa kwenye wiki ya kuanzia tarehe 08 March 2021

Baada ya hapo, MAMA SENIOR alichukua nafasi hiyo na kuanza kueleza mambo kadhaa kuhusiana na sikukuu hiyo na hatimaye allisema kuwa J3 ya wiki inayofuata kutakuwa na kusanyiko la wanawake wote wafanyakazi wa Taasisi hiyo litakalofanyikia ndani ya taasis yenyewe. MAMA SENIOR aliendelea mbele zaidi na kusema kuwa baada ya kusanyiko hilo siku hiyo, anapenda kuwakaribisha watu wote wa idara zote mbili zilizoungana na kutengeneza MAJOR UNIT mpya, wakusanyike tena kwenye ukumbi huo huo walimokuwa siku hiyo, kwa ajili ya kufahamiana zaidi, majira kuanzia saa tisa (9:00) alasiri
  • Kwa hiyo kusudi la kusanyiko hilo jingine ilikuwa ni wana idara mbili zilizoungana kujitambulisha kwa wenzao ili kuanza kufahamiana zaidi
  • Zaidi alisema kuwa kutakuwa na bites (hapa sasa ndipo alipompatia mhusika; angeweza asihudhurie kikao kama bites zisingetajwa. Tatizo la huyu mtu mimi huwa namweleza siku zote, anapenda mno kula, nadhani hata huwa anakula vyote. Huwa hawez kukosekana kwenye malaji)
Haya ndiyo mambo ya msingi aliyoongea MAMA SENIOR kwenye kusanyiko hilo, siku hiyo

Hatimaye kweli siku hiyo iliwadia, na ilikuwa ni siku ya kazi. Hata hivyo badala ya kusanyiko hilo kuanzia saa tisa kana ilivyokuwa imetajwa hapo awali, lilichelewa kidogo na kuanza kwenye ida ya karibia saa kumi (10:00), baada ya idadi ya wahudhuriaji kuwa imeridhisha
  • Watu walianza kwa kujitambulisha majina yao na nyadhifa huku vinywaji baridi, soda na maji vikiendelea kusambazwa
  • Mkuu wa MAJOR UNIT naye pia alikuwepo
  • Vinywaji vilivyoanza kupita zilikuwa soda, na hatimaye ilifuata supu ya nyama ambayo ilikuwa ni SELF SERVICE
  • Supu hiyo ilikuwa ni aina ile ambayo inajulikana siku zote kuwa ni FAVOURITE kwa mhusika (mtu anayependa malaji lazima watu wajue ni chakula gani huwa anapendelea; kula kula nako wakati mwingine kuna shida sana)
HITIMISHO
Baada ya kuwa ameona supu jioni hiyo, mhusika alishangaa kidogo kwa nini chakula kile kinaseviwa katika muda ambao siyo sahihuin sana kwake na kwa mazingira ya ofisini. Supu hiyo ilikuwa ni SELF SERVICE; unanyanyuka kwenye kiti chako, unaacha soda yako, unaenda unasevu halafu unarudi unaendelea na chakula na soda yako ambayo tayari ulikuwa umeshaifungua na kuanza kuinywa. Actually soda zilikuwa zinafunguliwa kwa opener na wale waliokuwa wanazisambaza. Unles iwe ni mtu ambaye hakuwa ame-opt kunywa soda siku hiyo; lakini kwa yule ambaye alikuwa na soda, tayari soda hiyo ilikuwa imeshafunguliwa

Baada ya mhusika kuona kuwa zoezi la supu ni self service
  • Alikagua kulia na kushoto watu aliokuwa amekaa nao karibu na kukuta mmojawapo ni swahiba wake wa karibu sana na ambaye alimwita na kumkaribisha pale ili wakakae wote kwenye meza moja, na mhusika alienda akakaa hapo baada ikiwa ni ishara yake ya kuitkia ukaribisho huo
  • Upande wa pili kulikuwa na mtu mwingine tena ambaye ni siri yake mwenyewe mhusika, asingependelea sana kumtaja hapa
Baada ya ukaguzi huo, alibugia fundo moja kubwa la soda yake, akaiweka halafu akanyanyuka kuelekea kwenye supu kama anataka kwenda kusave supu (hakuwa anakwenda kusevu supu) na kwa bahati nzuri bakuli za kusevia supu alikuta zimeisha, japo watu hawakuwa wengi sana, na zilikuwa zimefuatwa zingine. Baada ya hapo mhusika alitoka nje na kurudi moja kwa moja ofisini kwake na kuanza kuendelea na kazi zake. Dakika kama tano, baada ya mhusika kurudi ofisini, UMEME ULIKATIKA TENA.

Baada ya kuona hivyo, mhusika alitoka ofisini na kuelekea kwenye gari lake, akawasha gari na kunyoosha moja kwa moja nyumbani. Siku yake kwa siku hiyo ikawa imeisha kwa namna hiyo

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA MUHIMU
SIKU MHUSIKA ALIPOKWENDA KUSHUGHULIKIA SWALA LA MAJI YALIYOKUWA YAMEKATWA KWA MARA NYINGINE TENA NYUMBANI KWAKE NA AKIWA AMEBEBA PIA MADUMU YA KUCHOTEA MAJI, MAMLAKA HIZO ZINAZOHUSIKA NA MAJI ZILIMWELEZA KUWA HATA HUKO MAJI YALIKUWA YAMEKATIKA PIA.
IN FACT MAJI HAYAKUWA YAMEKATIKA ISIPOKUWA MAMLAKA HIZO ZILITAMANI SANA AKACHOTE KULE AMBAKO HUWA ANACHOTA SIKU ZOTE ILI AKAWEZE KUKUTANA NA MWANDISHI WA VITABU. ANGEFANIKIWA KUCHOTA MAJI HUKO ASUBUHI HIYO, JIONI WAKATI ANATOKA OFISINI ASINGEWEZA TENA KUPATA NAFASI YA KUKUTANA NA MWANDISHI WA KITABU, KITU AMBACHO MAMLAKA HIZO ZILIKUWA HAZIPENDI KITOKEE HIVYO
 
NYONGEZA MUHIMU
BARUA ILIYOKUWA NA KATIBU MUHTASI SIKU OFISA HUYO ALIPOMSHTUKIZA MHUSIKA KWA KUTUMIA BARUA HIYO KWENYE KORIDO, SIYO BARUSA YA PROMOTION BALI YA KUKATALIWA KULIPWA MALIPO YAKE ANAYODAI TANGIA SIKU NYINGI NYUMA. KWA MUDA HUU, MHUSIKA BADO ANAENDELEA KUFUATILIA MASLAHI HAYO, TAYARI AMESHAANDIKA BARUA NYINGINE ILA BADO HAJA-IPRINT: ANATARJIA KUI-PRINT NDANI YA SIKU KADHAA KUANZIA SASA
 
NYONGEZA MUHIMU KUHUSIANA NA BETRI ZA GARI LA MHUSIKA ZILIZOKUWA ZIKISHAMBULIWA MARA KWA MARA KWA KUPIGWA SHOTI YA UMEME.

ALICHOKUJA KUKIBAINI BAADAYE MHUSIKA NA AMBACHO MPAKA MUDA HUU ANA UHAKIKA NACHO KWA ASILIMIA 100 NI KWAMBA MASHAMBULIZI HAYO YALIKUWA YANAFANYIKA KWA KUHUSISHA PIA "LINE YAKE YA SIMU", HADI ILIPELEKEA HATIMAYE AKASITISHA MATUMIZI YA LINE ALIYOKUWA NAYO KIPINDI HICHO NA KWA SASA ANATUMIA LINE NYINGINE NA YA MTANDAO MWINGINE TOFAUTI KABISA NA ULE ALIOKUWA NAO HAPO KABLA. LINE HII ALIYOANZA KUITUMIA UPYA NDIYO ILE AMBAYO "CHIP" YAKE TAYARI IMESHABADILISHWA.
 
UPDATE: FRIDAY 10TH DECEMBER 2021 TAARIFA MPYA NA MUHIMU

OFISA MWINGINE MAALUM ALIYEKUWA ANAYAJUA KWA UNDANI NA KWA KINA SANA MAMBO HAYA YANAYOENDELEA KWENYE TAASISI YA MHUSIKA.


Ukiondoa aliyekuwa mkuu wa idara wakati maswala haya ya mhusika yanaanza kushughulikiwa ndani ya taasisi, kuna ofisa mwingine muhimu ambaye naye pia wakati huo alikuwepo kwenye taasisi, ila kwa sasa naye hayupo. Huyu kwa sasa yuko wizara ya katiba na sheria lakini wakati mambo haya yanapamba moto hadi kupelekea mhusika kuwa anandikiwa barua za kuitwa kwenye vikao vikubwa kabisa ndani ya tasisi huku akitishiwa kufukuzwa kazi, ofisa huyu alikuwa anapata nakala zote za barua alizokuwa anaandikiwa mhusika ikiwa pia ni pamoja na zile alizokuwa anajibu mhusika kama majibu ya barua hizo alizokuwa anaandikiwa.

Ofisa huyu alikuwa pia na mamlaka makubwa tu kiasi ikiwa ni pamoja na kuendesha vikao vya nidhamu, na pia mamlaka ya juu kabisa ya kuamua hatima ya mhusika kwenye vikao hivyo.

Rais wa awamu ya tano alipotembelea taasisi kwa mara ya kwanza mwaka 2016, ofisa huyu ndiye alikuwa mshereheshaji kwenye hafla hiyo. Wakati huo alikuwa bado hajaondoka kwenye taasisi isipokuwa kipindi rais huyo huyo anaitembelea tena taasisi mara mbili mfululizo ndani ya mwezi mmoja mnamo novemba 2018, ofisa huyu sasa alikuwa tayari ameshatoka JALALANI na kwenda mahali kwingine ambako ndiko aliko hadi muda huu
 
UPDATE: MONDAY 13TH DECEMBER 2021 USHAURI MUHIMU KWA WAUMNI WA KANISA A:

KUHUSIANA NA BIBI AU MAMA MCHUNGAJI MKE WA MCHUNGAJI ALIYEPITA KABLA YA HUYU ALIYEPO SASA: KUNA HAJA YA KUMFANYIA HARAMBEE KANISANI ILI KANISA LIMNUNULIE KIGARI ANGALAU HATA KI-IST


Jumapili ya tarehe 28/11/2021, mama yangu huyu (bibi yenu kwa mlio wengi kanisani hapo), nilimpita nje kwenye geti akiwa amejibanza mvua huku ikimnyeshea, anasubiria ikatike halafu ndiyo aende nyumbani kwake.

Mbele kidogo ya uelekeo wangu baada ya kumpita mama, nilimuona Kiongozi wa chama cha wanaume Kanisani hapo akiwa anaongea na kundi la waumini kadhaa na kumshirikisha wazo hili, na yeye alilikubali. Nilimshirikisha wazo hili akiwa kwenye kundi la watu wengi kidogo, na watu hao nao pia walisikia

Vile vile Jumapili ya jana tarehe 12/12/2021 mama huyu hajaoekana kabisa kanisani kwa sababu ya mvua. Mama kwa sasa ana umri usiopungua miaka themanini (80) na possibly atakuwa anaelekea kwenye tisini (90).

HITIMISHO
Nadhani kuna haja ya kumfanyia harambee tukamnunulia kigari ambacho kitakuwa na dereva muumini wa Kanisani kwetu (possibly mmojawapo wa staff wa waliopo kanisani muda huu). Kigari hicho kinaweza kuwa kinapaki Kanisani muda wote, na wakati wa emergence kama za mvua na mambo mengine, kinaenda kumchukua na kumrudisha nyumbani kwake

Kama wazo hili linakubalika, mimi mwenyewe kwa kuanzia, nitatoa million moja, (siyo kwa mkupuo) na nitaikamilisha kabla ya March 2022 (mwaka ujao)

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
COMING UP NEXT:
Mwendelezo wa stori iliyanzia kwenye post hii #777 yenye kichwa kinachosema
STORI KUTOKA KWENYE KORIDO ZA OFISINI: ALICHOWAHI KUTONYWA MHUSIKA KUHUSIANA NA “SPECIALIST”
 
COMING UP NEXT: WAFANYAKAZI WAWILI WAGENI WANAOFANYA KAZI KWA KUVIZIA NA AMBAO HAWAJAWAHI KUTAMBULISHWA IDARANI NA MKUU WA IDARA
---Hawajahi kuhudhuria kikao cha idara pia hata mara moja
---Mmoja ana zaidi ya mwaka, possibly ameshakamilisha hata miaka miwili, na mwingine ana zaidi ya nusu mwaka kwa sasa
---Wanafanya kazi kwa kuvizia, kwa upande wake mhusika kama anavyowaona yeye; na kuhusiana na upande wa wafanyakazi wengine wa idara, mhusika hana details
Kawaida wafanyakazi wote wageni utaratibu ni kuwa huwa wanatambulishwa na Mkuu wa Idara au na mtu ambaye anakuwa amepewa mamlaka hayo na Mkuu wa Idara ambapo mtu huyo huwa analazimika kuwapitisha maofisini mwa kila mfanyakazi. Kama ni Mkuu wa Idara, basi huwa anaweza akaitisha kikao kifupi na kuwatambulisha watu hao mbele ya watu wote idarani
Kuna idadi ya wanafunzi wa ngazi za juu ambao nao pia hawajawahi kutambulishwa na au kuonekana hata wakifanya presentation za kazi zao mbele ya Idara
Mhusika ameamua kuyasema haya kwa sababu mazingira ya usalama idarani yanaelekea kuwa sawa kabisna na kipindi kile ambacho ameshawahi kukisimulia humu jukwaani; kipindi ambacho ilipelekea hadi watu wakwa wanaanguka kutoka ghrorofa ya kwanza. Tofauti tu ni kwamba kipindi hicho mambo yalikuwa yanafanyika wanafunzi wakiwa hawapo, wakati kwa muda huu teknolojia inaonekana kubadilika kidogo kuna uvumbuzi mpya, kiasi kwamba yanaanza kufanyika sasa wanafunzi wakiwa wapo
 
UPDATE: TUESDAY 14TH DECEMBER 2021 MAELEZO KWA KIFUPI KUHSIANA NA WAFANAYAKAZI WAGENI WAWILI

Kama ilivyoelezwa kwenye maelezo ya utangulizi hapo juu, mfanyakazi mgeni wa kwanza (tumwite MGENI-1) ana takribani miaka miwili na yule wa pili (tumwite MGENI-2) ana takribani nusu mwaka sasa

Tuanzea na MGENI-1, yaani yule mwenye takribani nusus mwaka, halafu tutamalizia na yule wa zamani kidogo, MGENI-1

MAELEZO KWA KIFUPI KUHUSIANA NA MGENI-2

Mara ya kwanza mhusika kumuona huyu mtu, ilikuwa ni kwenye korido, MGENI-2 alikuwa anaingia kwenye chumba ambacho hapo awali kilikuwa kinatumika kama maktaba, na kwa sasa hivi kinatumika kama chumba kwa ajili ya wanafunzi wa ngazi za juu; mhusika naye alikuwa anaingia kwenye chumba kingine. Mhusika alifanikiwa kumuona mtu huyu kwa mbali, hawakusalimiana, ila MGENI-2 yeye hakumuona mhusika kwa sababu MGENI-2 alikuwa amempa mhusika mgongo. Mhusika hata hakuweza kujua mtu huyo ni nani, alidhania pengine ni mgeni wa watu wanaotumia chumba hicho

BAADA YA SIKU KADHAA KUPITA:
  • MGENI-2 alifika ofisini kwa mhusika na akajitambulisha jina na kumuomba mhusika ampitishe kwenye baadhi ya maabara zilizopo idarani; angependa kufanya kazi humo
  • Mhusika akamweleza kuwa hawezi kufanya hivyo mpaka kwa ridhaa ya Mkuu wa Idara (MWI) na mpaka baada ya kuwa amemfahamu jkwa kutambulishwa rasmi kwake
  • Mhusika alimshauri mtu huyu kuwa ingependeza akatambulishwa kwake rasmi kwanza akamjua yeye (MGENI-2) ni nani na ametoka wapi, halafu baada ya pale ndiyo anaweza kufanya kazi naye
Baada ya pale, MGENI-2 aliondoka na hakurudi tena ofisini kwa mhusika, hilo tukio likapita

BAADA YA SIKU KADHAA KUPITA TENA, MWANZONI MWA MWEZI WA SABA 2021:

Mhusika akiwa anatokea Ofisi za Bima zilizoko ndani ya Taasisi kwa ajili yak u-renew Bima ya gari lake, alimkuta MR X amesimama kwenye mlango wa ofisi yake (MR X), ambapo juu ya mlango wa ofisi hiyo ndiyo kuna Kamera inayomulika kwenye korido inayoelekea kwenye ofisi ya mhusika

MR X alikuwa amesiimama pale na mtu mwingine mstaafu, ambaye msataafu huyo wanafahamiana pia na mhusika

MAELELZO KWA UFUPI KUHUSIANA NA MSTAAFU HUYU

Mhusika na mstaafu huyu walifahamiana kuanzia miaka ya mwaka 1998, wakati huo mhusika akiwa bado anasoma na pia akiwa ni mmojawapo wa viongozi wa Serikali ya Wanafunzi kwa wakati huo

Ofisa huyu naye kipindi hicho alikuwa anafanya kazi kwenye Ofisi hiyo ya Serikali ya wanafunzi, na kwa hiyo walikuwa wanafanya kazi pamoja na hicho ndicho kilikuwa chanzo cha kufahamiana kwao

Kwa hiyo siku hiyo mhusika alipokuwa anatoka kukata Bima, alimkuta ofisa huyu wakiwa wako pamoja na MR X mlangoni mwa ofisi ya MR X.

………………….inaendelea
 
BAADA YA MHUSIKA KUWAKUTA MR X WAKIWA WAMESIMAMA NA MSTAAFU HUYU MLANGONI MWA OFISI YA MR X

MR X alimjulisha mhusika kuwa mtu huyo waliyekuwa naye, alikuwa ni mgeni wake (mhusika) na alikuwa yuko pale akimsubiri yeye (mhusika)
  • Mhusika alishangaa kidogo kwa sababu mara ya mwisho kuonana na MSTAAFU huyu, ilikuwa takribani miaka miwili nyuma, na kabla ya hapo hawakuwa wamebahatika kuonana kwa angalau muongo mzima
  • Kwa hiyo kwa siku hiyo walikuwa wanaonana kwa mara ya pili kwa kipindi ambacho ni kifupi zaidi tangu walipokuwa wameonana mara ya mwisho, takribani miaka miwili nyuma
  • Vile vile mhusika alijiuliza kama kuna chochote cha muhimu waliongea mara ya mwisho walipoonana, akakikosa, hali iliyopelekea sasa asimkaribishe ofisini na badala yake waongee wakiwa kwenye veranda tena inayomulikwa na Kamera
KABLA YA KUENDELEA MBELE ZAIDI NA MAELEZO YA MSTAAFU HUYU, TURUDI KIDOGO KWA MR X:

Kwa sababu ambazo mhusika hawezi kuzielewa, hapa trick ya MR X siku hiyo ilikuwa ni kwamba; alikuwa amepanga wawili hawa, mhusika na MSTAAFU , waonekane na Kamera ya kwenye korido wakiwa wanatembea kuelekea ofisini kwa mhusika, li baadaye ije ionekane kuwa WAWILI HAWA WALIKUJA WAKIWA WAMEAMBATANA PAMOJA KUTOKEA KULE AMBAKO MHUSIKA ALIKUWA AMEENDA KUKATA BIMA YA GARI. ILIKUWA IONEKANE KUWA WALIKUJA WAMEONGOZANA PAMOJA NA KUELEKEA MOJA KWA MOJA OFISINI KWA MHUSIKA

Baada ya kuona hivyo, mhusika hakumpeleka mgeni huyu MSTAAFU ofisini kwake, na badala yake aliamua aongee naye wakiwa kwenye veranda
Kwenye maongezi yao, mhusika alimuuliza MSTAAFU huyu nini kilikuwa kimejiri na kupelekea kuwepo mahali pale akimsubiria. MSTAAFU alisema kuwa amekuja kwa ajili ya kumpatia (mhusika) namba ya simu ya rafiki yake (mhusika) ambaye walipotezana siku nyingi, ambayo (mhusika) aliwahi kumuomba (mstaafu huyu) amtafutie siku walipoonana mara ya mwisho idarani hapo.

Kwa hiyo MSATAAFU huyu alikuwa amekuja siku hiyo akiwa na namba hiyo ya rafiki yake na mhusika; hicho ndicho kilikuwa kimemleta

Kwa kifupi tu n I kwamba siku ya kwanza kabisa mhusika kuonana na MSTAAFU huyu mazingira ya idarani kwa mhusika, MSTAAFU huyu alisema kuwa alikuwa amekuja kumuona ofisa ambaye kwa sasa ni MKUU WA MAJOR UNIT, ambaye kwa wakati huo alikuwa ndiyo MKUU WA IDARA, na ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa kwa mhusika kuonana na MSTAAFU huyu kwenye mazingira ya idarani hapo. Ni kweli kuwa walifahamiana siku nyingi lakini kitendo cha mhusika na MSTAAFU huyu kuonana katika mazingira ya idarani, ilikuwa ni mara ya kwanza

Maongezi ya mhusika na MSTAAFU huyu yaliishia hapo siku hiyo; wakaachana na mhusika akaelekea ofisini kwake.

Ikumbukwe kuwa mhusika alikuwa anatoka kukata Bima ya gari na alikuwa bado hajafika ofisini yake. Ni baada ya kuwa interrupted na ujio wa mgeni huyo

MUDA YA MFUPI TU BAADA YA MGENI HUYO KUONDOKA SIKU HIYO, MR X AFIKA OFISINI KWA MHUSIKA AKIWA NA MGENI MWINGINE (MGENI-2) KWA AJILI YA UTAMBULISHO

Baada ya MSTAAFU kuondoka, dakika chache mbele MR X alifika ofisini akiwa ameambatana na MGENI-2 na kumtambulisha kuwa yuko idarani pale kwa ajlil ya INTERNSHIP, akieleza zaidi kuwa wametoka ofisi moja na MGENI-1, ambaye naye pia alikuwa hajawahi kutambulishwa kwa mhusika tangu awasili mazingira ya ofisini pale

MR X hakusema mamlaka ya kumtambulisha MGENI-1 alikuwa amepewa na nani. Ikumbukwe pia kuwa mpaka muda huo, ni siku kadhaa tu zilikuwa zimepita tangu MR X alipofika ofisini kwa mhusika na kumtambulisha mfanyakazi mwingine mgeni wa kike ambaye kwa imani, mhusika aliuamini utambulisho huo na kupelekea mgeni huyo kumpitisha kwenye baadhi ya sehemu idarani hapo. Mfanyakazi huyu mgeni wa awali, alitambulishwa na MR X na kwa wakati huo huo, akaomba kupitishwa kwenye baadhi ya sehemu idarani hapo, kitu ambacho mhusika aliridhia
  • Safari hii mhusika hakuwa tayari kurudia imani hiyo, alihitaji mamlaka husika zimupe kwanza authority mhusika kufanya kazi na MGENI-2 na baada ya MGENI-2 kuwa ametambulishwa rasmi idarani, na siyo MR X tena
  • Ukiondoa utambulisho wa siku hiyo wa MR X, wote wawili MGENI-1 na MGENI-2 hawajawahi kutambulishwa rasmi idarani, wala kuonekana au hata kuongelewa kwenye vikao vya idara tu, wao wakiwa hawapo, haijawahi kutokea hivyo
The fact is; mhusika hana mashaka na uwepo wa watu hawa idarani, anaamini kabisa kuwa wapo kihalali. Ambacho ameshakuwa na mashaka nacho ni aina (manner) ya ufanyaji wao wa kazi kwa sababu inaonekana kama ndani ya roho zao, wanafanya kazi wakiwa wana akiba ya kitu kingine cha ziada ambacho siyo kizuri kwa mhusika

Zaidi ni kuwa mhusika hana mamlaka ya kuipangia idara nani awepo na nani asiwepo idarani, ila anayo haki ya kudai waliopo na ambao anatakiwa kufanya kazi nao, wanafanya naye kazi kwa kuzingatioa utaratibu (au manners) ambazo zimeelekezwa na taasisi; na katika namna ambayo haitamtia mashaka wala wasiwasi, na baada ya kuwa amewafahamu kupitia mamlaka zinazoeleweka idarani kuwa ndizo zenye authority ya kumtambulisha mtu mgeni anayekuja rasmi kufanya kazi idarani hapo
NB: Ofisi ya MR X aliyoiongela hapa mhusika, ni ile ya zamani iliyokuwa ghorofa ya kwanza usawa wa ngazi
………………….inaendelea
 
Muhimu: Uzi huu unawafaa sana hasa wale ambao tu huwa wana muda na wanapenda kuchambua mambo kwa kina, vinginevyio kama wewe siyo mmoja wao, unaweza ukaona kana unapoteza muda wako kuufuatilia.


"Asante"
 
BAADA YA SIKU KADHAA KUPITA MGENI-2 AKIWA AMESHAPATA UTAMBULISHO WA MR X

MGENI-2 alifika tena ofisini kwa mhusika, akiwa anataka kupitishwa kwenye baadhi ya sehemu idarani hapo
  • Mhusika alimkumbusha MGENI-2 kuwa mara ya mwisho walikubaliana kuwa apate utambulisho rasmi ndiyo mhusika ataweza kufanya naye kazi
  • Zaidi mhusika alimjulisha MGENI-2 kuwa MR X siyo Mkuu wa Idara na hivyo hana mamlaka ya kutambulisha watu idarani hapo, unless tu kama atakuwa amepewa authority hiyo na Mkuu wa Idara
Baada ya hapo MGENI-2 alipotea tena; wawili hawa wakawa wanaonana kwenye korido tu.
Tofauti kidogo na ilivyo kwa MGENI-1 (ambaye taarifa zake bado hazijaanza kuletwa kwenu) ambaye angalau yeye huwa yuko stationed kwenye chumba au ofisi maalumu, japo kwa kuahama hama kila wakati, MGENI-2 (ambaye taarifa zake ndiyo hizi) yeye mara zote anakuwaga hayuko stationed mahali pamoja na wala siyo rahisi sana kuweza kum-trace physically. Zaidi ni mara chache sana unaweza ukamkuta yuko kwenye kundi akiwa pamoja na wafanyakazi wenzake

MGENI-2 AMFANYIA TIMING MHUSIKA KWENYE KORIDO, KWA MAONGEZI YALE YALE KAMA YA AWALI

Kwenye hii timing, mhusika alijua kabisa kuwa kuna mamlaka nyuma yake inayomtuma kufanya anachofanya, na akawa sasa amemwogopa zaidi ya vile alivyokuwa amemwogopa kabla.
Hivi majuzi ndiyo mhusika akawa amepata tatizo la laptop yake. OS DVD zake zote alizokuwa nazo (mbili) zikawa hazifanyi kazi, LAPTOP ya zamani aliyokuwa nayo nyumbani nayo pia ikawa imegoma kupokea chaji
Zaidi pamoja na kupewa kompyuta nyingine, akwa hawezi ku-download set-up au ISO image files za OS kutoka kwenye website ya Microsof kwa kutumia Internet Download Manager (IDM), na hawezi mpaka muda huu. Anapojaribu, IDM inafanya katika speed ambayo inamwonyesha itamaliza baada ya siku 48. There’snt any internet link as slow as this, anywhere in the entire world

Baada ya hapo, ndiyo sasa akaanza kumtafuta MGENI-1 ambaye hapo kabla walikuwa hawajawahi kabisa ku-interact kiofisi tangu awasili ofisini, na ambaye hakuwa na historia naye yoyote ile, ukiachilia mbali kuwa hakuwa ametambulishwa kwake

MAELEZO KWA KWA UFUPI KUHUSIANA NA MGENI-1

Huyu ana takribani miaka miwili yupo idarani
Baada ya mhusika kupata matatizo ya kifaa cha kazi, alianza kumtafuta MGENI-1 mfululizo kwa siku kama tatu hivi lakini hakufanikiwa kumpata ofisini
Hata hivyo kwenye ile siku ya tatu, mhusika alibahatika kumkuta nje kwenye mlango wa ofisi ya Mkuu wa Idara, mhusika akiwa anataka kuingia ofisini humo na yeye akiwa anatoka

Siku hiyo mhsika hakutaka kumchukua ili ampeleke ofisini kwa ajili ya msaada, alikuwa tayari ameshapata baadhi ya vitu vilivyokuwa vinavihitajika kwa ajili ya kurekebisha kifaa chake. Siku hiyo ilikuwa ni SIKU YA IJUMAA

NDANI YA WIKI NYINGINE ILIYOFUATA BAADA YA WIKI TAJWA HAPO JUU KUWA IMEPITA


Mhusika alikuwa bado hajafanikiwa kurekebisha kile alichokuwa anajaribu kufanya
  • Baada ya kuona hivyo aliona sasa ajaribu kurudi kwa MGENI-1 ili apate msaada, na wazo hili lilimjia weekend akiwa yuko nyumbani
  • Mhusika aliamua kutafuta namba ya MGENI-1 na aliipata kutoka kwa jamaa yake mwingine waliyenaye ofisini pale
BAADA YA KUPATA NAMBA YA SIMU YA MGENI-1 WAKATI WA WEEKEND
  • Mhusika alimpigia MGENI-1 wakasalimiana
  • Baada ya salamu, mhusika alimuuliza MGENI-1 kama J3 atakuwepo ofisini ili ampe msaada kwa sababu ameshakwama
  • MGENI-1 alikiri pasipo shaka kuwa atakuwepo na akakubali kuwa angeweza kutoa msaada huo
  • Zaidi ni kuwa MGENI-1 alitoa angalizo kuwa kama ikitokea akachelewa kufika ofisini, basi badala yake anaweza akamuona MGENI-2 ambaye naye pia anao utaalamu wa swala alilokuwa mhusika akihitaji msaada
  • Mhusika alimkubalia MGENI-1 kwa maneno, rohoni akiwa amekataa
BAADA YA MHUSIKA KUWA AMEWASILI OFISINI J3 HIYO
  • Akawa yuko anasubiria msaada kutoka kwa MGENI-1 na pasipo kumhusisha MGENI-2 tu kama MGENI-1 alivyokuwa ameshauri
  • J3 hiyo MGENI-1 wala hakufika kabisa ofisini
  • Baada ya mhusika kuulizia aliambiwa kuwa MGENI-1 amesafiri kwenda field
  • Mhusika alishangaa kidogo kwa sababu jana yake tu waliongea na MGENI-1 ambaye hakusema kuwa ana safari ya kwenda field
  • Baada ya kusafiri, MGENI-1 amekaa field kwa wiki zisizopungua tatu, na baada ya kuwa amerudi ofisini, mhusika akawa amepata hitaji jingine tofauti na lile la awali (hacking of some sort), na ambalo alihitaji tena msaada kutoka kwa MGENI-1
  • Baada ya kumhitaji, MGENI-1 akawa aidha hapatikani mazingira ya ofisini au akawa anapatikana kwenye korido huku akiwa hai hai
  • Baada ya hapo, ilipofika SIKU YA IJUMAA wiki iliyopita; MGENI-1 alionekana kwenye ofisi nyingine ndogo sana (jirani kabisa na ile ya mhusika na ambayo haitumiki siku hizi ila imeachwa ikiwa wazi muda wote) akiwa anaongea na simu. Ni baada ya kuwa amepigiwa simu alipokuwa ana maongezi kwenye ofisi nyingine jirani ambayo ni OFISI YA MKUU WA MAJOR UNIT
HITIMISHO
  • MGENI-1 kuja kufanya maongezi ya simu SIKU YA IJUMAA hiyo kwenye ofisi nyingine ndogo jirani na ofisi ya mhusika na iliyo wazi muda wote; ilikuwa ni better option, ila kama angeweza kuongea akiwa kwenye veranda ingekuwa ni the best option.
  • Hapo awali, miaka yote ofisi hii imekuwa ikifungwa na mhusika haelewi kwa nini siku hizi imeanza kuachwa wazi. Ni siku za hivi karibuni tu ofisi hii imekuwa ikiachwa wazi. Miaka yote huko nyuma ofisi hii ilikuwa inafungwa muda wote, iwe na kitu au tupu ilikuwa inakuwa locked
  • Zaidi ni kuwa mtu akitoka ofisi hiyo na kuingia ile ya mhusika, hawezi kuonekana na KAMERA
  • Sehemu kubwa ya juu ya ofisi zote hizi mbili zina vioo na hivyo watu wakiwa kwenye ofisi hizi wanaweza kuwasiliana aidha kwa ishara na/ au hata maongezi pia
Ofisi hiyo ni kama sehemu ya ki-partition kidogo tu cha ile mhuska

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
NYONGEZA MUHIMU

HUKO ALIKOKUWA AMEENDA KUKATA BIMA YA GARI; KABLA YA KURUDI OFISINI NA KUMKUTA MR X AKIWA YUKO NA MSTAAFU WAKIMSUBIRIA


Miaka yote mhusika amekuwa akikata Bima kwa kupitIa wakala walioko kwenye taasisi yake anayofanyia kazi, na wahudumu wake wamekuwa almost ni walewale siku zote. Kwa hiyo hajawahi kukata Bima ya gari sehemu nyingine yoyote ile tofauti na mahali pake pa kazi

Baada ya kuwa amepewa contol number, safari hii wenye Bima walimuomba abaki ofisini halafu mmoja wao ampe pesa aende Benki akamsaidie kulipa. Hiki kitu sasa kilimchanganya, kwa sababu kwenda kulipia benki haikuwa kazi nzito;akanza kujiuliza maswali kwamba yeye abaki pale ofisini na mahali ambapo siyo ofisini kwake, abaki pale akiwa anafanya nini? Na hii huduma ya wenye Bima kwenda Benki kuwalipia wateja wao baada ya kuwa wamewapa control number, iimeanza lini?

Ikumbukwe kuwa hadi kufikia muda huo, tayari wataalamu walikuwa wameshabadilisha INJINI ya gari lake ila yeye alikuwa bado hajagundua, ukizingatia kuwa INJINI waliyoweka baada ya kuchukua ile iliyokuwepo awali, ina muungurumo mzuri na wa kipekee sana, unavutia kiasi kwamba mtu anaweza akafikiri ni injini mpya ambayo haijawahi kutumika hata mara moja, kumbe hapana. Hata ile iliyochukuliwa nayo ilikuwa na muungurumo exactly kama wa ile iliyopo sasa
 
Back
Top Bottom