Recent content by the blower

  1. the blower

    Kenyela atolewa u RPC

    Hapo lazima ameshindwa kusomeka kwenye system
  2. the blower

    Kenyela atolewa u RPC

    Hapo lazima ameshindwa kusomeka kwenye system
  3. the blower

    Nimewapenda CHADEMA bure: Kila shutuma za wapinzani wanazirusha kwa wenyewe na kuwauma kwa sana

    Ritz 1 ka-comment mara kumi kumi kwenye thread ya Lema nashangaa simuoni hapa- kweli CHADEMA moto wa kuotea mbali.
  4. the blower

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Ha ha ha ha ha! Mwapa where do you get the audacity to talk about USALITI? Kweli kuchumia tumbo noma. And please Mwapa ulisoma DUCE hatuna campus ya duce wala muce. They are constituent colleges. Call a spade a spade
  5. the blower

    Ningependa nikumbukwe pia kwa Mchango wangu huu Mdogo kwa nchi yangu...!

    Ha ha ha ha magid bwana. Jana baada ya kuyakataa mageuzi na ukapigwa za uso leo naona unakuja kivingine. Mtu hajitafutii sifa wacha waone wenyewe acha kupiga mayowe.
  6. the blower

    Nini tatizo la Nape Nnauye?

    Ana haki na kila sababu ya kulalamikia ubaguzi wa Chadema kwani wamewabagua mamluki wake kabla ya kuhitimisha kazi aliyowatuma. Na ajua kwamba Shibuda atafukuzwa kwani ameishasomeka kwenye camera za CDM. Chezea power of people wewe.
  7. the blower

    Tunamkosa baregu-uaandaaji wa katiba umemwondoa kabisa?

    Heshima GTs Moja ya character muhimu katika siasa za ukombozi wa awamu ya pili (against black colonialist) na ambaye nilimpa heshima kubwa sana ni Prof. Baregu. Hivi karibuni baada ya kuteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa kutekeleza mchakato wa kutupatia katiba mpya amepotea kabisa katika...
  8. the blower

    Yako wapi majibu ya haya??

    Umenena mkuu. Mi nakuongezea kama ifuatavyo. * PWAGU HUPATA PWAGUZI * BIRDS OF THE SAME FEATHERS FLOCK TOGETHER * KESI YA NYANI HAHUKUMU NGEDERE * ZIMW LIKUJUALO HALIKUL LIKAKWISHA * UKILA NYAMA YA MTU VIGUMU KUACHA Hata hivyo tuna imani yatakwisha kwani hakuna...
  9. the blower

    Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

    Juzi Zitto alipoomba samahani mimi ni mmoja wa waliokataa kumsamehe. Just read his writing closely. Isn't he doing the same? tabia za inzi kuleta ghasia na bughudha kila wakati . . .
  10. the blower

    Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    Kaka magamba kazi yao ni kuchafua hali ya hewa. kwani huyu hajui kuwa Jw wanatumikia ccm achilia mbali polisiccm na tbcccm n.k n.k
  11. the blower

    Tanzia: Diwani wa CCM Ifakara afariki dunia!

    Mimi nadhani kuanza kupigia chapuo ile kata ni jambo la muhimu sana. kumbuka kifo ni namna ya kubalance nature. The man is gone na maisha lazima yaendelee. Kazi kwa CDM maana Ifakara (na jimbo la Kilombero kwa jumla) ilifanyiwa mchakachuo wa kufa mtu 2010.
  12. the blower

    PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

    Aliwaachaje hoi mkuu? Kawachekesha, kawatukana, kawaboa, au nn?
Back
Top Bottom