Recent content by the big fish

  1. the big fish

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bampa la mbele la Chaser Avante/GX100

    Shukrani
  2. the big fish

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bampa la mbele la Chaser Avante/GX100

    Nipo mkoani unaweza nipa connection za watu wa hapo gerezani
  3. the big fish

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bampa la mbele la Chaser Avante/GX100

    Natafuta bampa liwe jipya au used la gari aina ya chaser avante au gx 100 mwenye nalo tuwasiliane Natanguliza shukrani...
  4. the big fish

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa water pump ambayo ni bora

    Unamaanisha zile engine za diesel za piston moja wanazotumia pia kwenye karasha za dhahabu?
  5. the big fish

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa water pump ambayo ni bora

    Wanajamvi habari za majukumu. Nataka kuanzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa mazao mbali mbali sasa nipo katika kufanya utafiti wa kutafuta pampu nzuri na bora kwaajili ya kazi twaja hapo juu Nmekuja kwenu wana JF ili mnipe ushauri wa pampu ipi bora Kwa vigezo hivi Iwe inchi 4 Iwe ya...
  6. the big fish

    JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Duuh! Hio noma
  7. the big fish

    JamiiForums Tanzania Je, Salim Kikeke ataendelea kuendesha mijadala ya kisiasa na viongozi wa vyama vya upinzani?

    Namaanisha mlengo wa kisiasa specifically wapo ambao hawana chama
  8. the big fish

    JamiiForums Tanzania Je, Salim Kikeke ataendelea kuendesha mijadala ya kisiasa na viongozi wa vyama vya upinzani?

    Ni sahihi kabisa nilihitaji tu kujua mawazo ya watu wengine wanacompare vipi hali kama hii ukizingatia salim anawafuasi wengi ambao pengine hawana mlengo wowote
  9. the big fish

    JamiiForums Tanzania Je, Salim Kikeke ataendelea kuendesha mijadala ya kisiasa na viongozi wa vyama vya upinzani?

    Baada ya hapo ataendeleza tena mijadala yake na viongozi wa vyama vya upinzani ilhali tayari wameshamjua kuwa yeye ni mfuasi wa CCM
  10. the big fish

    JamiiForums Tanzania Je, Salim Kikeke ataendelea kuendesha mijadala ya kisiasa na viongozi wa vyama vya upinzani?

    Kwa Dotto magari na mwijaku tayari walikuwa wameonyesha mlengo wao tokea mwanzo kwa kikeke ile taalum yake ya uandishi wa habari ambayo nadhani ndio imemtambulisha hadi sisi tukamfahamu hatua aliyoichukua hawezi kuweka kwenye mabano kwenye kaz yake ya uandishi
  11. the big fish

    JamiiForums Tanzania Je, Salim Kikeke ataendelea kuendesha mijadala ya kisiasa na viongozi wa vyama vya upinzani?

    Habari ya wote humu ndani kama kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC. Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na...
Back
Top Bottom