Hakuna anaeshindana na hicho chama bali wao ndo wanajishtukia tu. Sasa hicho chama kuna kipi cha maana kimefanya kwenye nchi hadi watu wapambane nacho? Chama hakijui uwajibikaji bali kuropoka na mihemko tu.
Ila Chadem kushupalia ya CCM ni sawa? Mbona hai CHADEMA hoja zao na mada zao zote huwa zinatokana na vitu wanavyofanya CCM. Hivi nchi hii ukiwa mwanachadema basi hairusiwi wewe kukosolewa, kusemwa n.k?
Usipende kushadadia ya wenzako kama wewe hutaki ya kwako yasemwe. CHADEMA kaeni mbali na...
Mkuu acha kudandia taaluma za watu. Nafikiri kama ungekuwa udaku au kama alichokuwa anakifanya kingekuwa hakiko sawa mahakama na hata mshitakiwa angelalamika na asingeendelea. Tupunguze ujuaji kwa vitu ambavyo vipo nje ya uelewa wetu.
Watanzania ujuaji hata kwa vitu tusivyo na uelewa navyo...
Katika mashahidi waliozingua ni Brenda Rupia. Hata Heche ashukuru Mshitakiwa jana kusema shahidi amechoka kesi ikaahirishwa, na inaonekana baada ya hapo alienda kutulizwa na kupewa maarifa zaidi. Jana Heche alibanwa vibaya na ndo maana leo baadhi ya maswali mengi amesema hajui.
Alichotaka...
Pamoja na maneno hata reaction yako ni inaangaliwa, facial expression na hata mdomo wako. Ndo maana hata kwenye mpira wa miguu wachezaji wamezuiwa kuongea wamefunika mdomo. Ukipanick ina maana kuna kitu hakiko sawa kwako kwa hiyo unatumia ukali kama defence. Sijawahi kwenda mahakamani nahisi ni...
Ndo maana nikasema kesi ni Logic na ushahidi. Logic ni moja ya topic kwa wanaosoma Advanced Mathematics na Falsafa. Unashangaa kwa sababu inaonekana hujasoma sheria, Advanced Mathematics wala Falsafa. Tumia huu muda kujifunza.
Ni sawa ni mazingira tofauti lakini linapokuja hatua za mahakama ni zilezile. Nimetumia Marekani kwa sababu pamoja na kwamba ushahidi kwa sehemu kubwa unaonesha mama aliua watoto wake watatu lakini majaji wameshindwa kufikia muafaka. Hata hivyo hata huko Marekani kuna muda haki haitendeki, mtu...
Mimi siyo mwanasheria lakini wabongo tunakosea kuja na conclusion kwa vitu ambavyo viko mahakamani hususan vinavyowahusu wanasiasa. Kitu ambacho kinatakiwa ni kesi iendeshwe kwa haraka na hukumu itoke, ila sisi kuja na hukumu zetu za ushabiki unatengeneza fursa ya kuona kinachofanyika mahakamani...
Mahakamani inatumika Logic na ushahidi usiyo acha shaka zaidi badala ya maneno ya kusikia au kuambiwa. Ndo maana kuna watu huwa wanamakosa lakini ushahidi huwa unashindwa kujitoleza.
Anachosema hapo jamaa ni kwamba Heche kwenye upande wa Logic keshawekwa kwenye kona. Na kila swali linaloulizwa...
Lugha ni muhimu lakini maarifa ndo bora zaidi. Wachina wengi hawajui kiingereza lakini wametumia kichina kutengeneza teknolojia ambayo imewapa maendeleo.
Hizo international case hatushindwi kisa Lugha bali ni vifungu vya mikataba. Mikataba mingi ilikuwa inasainiwa kimagumashi na wamiliki...
Hizi kauli za mujumuisho zimeumiza wengi sana. Katika kitu ambacho hutakiwi kukifanya na inabidi uombe sana hata kama una hasira ujiepushie mbali ni kumpiga mtu ambae yupo anatimiza majukumu yake. Hata kwa watumishi wa umma kupigana sehemu ya kazi au kumpiga mtu sehemu ya kazi yake ni moja ya...
Ndo tabia yao. Ila wao wakifungiwa wanalalamika kwamba wameonewa, wataenda hadi balozi za nchi mbalimbali kuonesha wameonewa, wakati hatanwao ni waoneaji wakubwa wasiyopenda kukokosolewa.
Pole sana mkuu
JF nao madikteta tu, wao wanapenda serikali ikosolewe ila ukiwakosoa wao wanakulima ban usitumie platform zao. Halafu huwa wanajidai wanapigania demokrasia na haki za watu ila ukiwagusa wao wanakubutua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.