Daaah pole sana mkuu..Mi nashauri piga chini wako bado hajajulikana na inaonekana ww uliingilia mapenzi yao maana huyo mwanaume aliye mpa mimba na kuzaa ndo anampenda na inaonekana niwapenzi wa muda mlefu kabla ya ww. Tena toka huko sauti.
Pole sana mkuu Ila kumbuka hukuzaliwa ukiwa Staaf ukiona Mungu amekupitisha njia nyingine huku ww ukiona uliyo kua nayo ni sahihi basi mshukuru maana ungeendelea na Njia hiyo pengine ungekuja kupata kubwa zaidi ya hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.