Recent content by The Best Ever

  1. T

    Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    1. Dk. Mtuka alisema baada ya kufikishwa hospitalini hapo, alimfanyia kipimo cha macho na kisha kutaka kumfanyia kipimo cha kimaabara ambacho hutolewa bure hospitalini hapo. Alisema hata hivyo binti huyo hakupima kipimo hicho badala yake alirudishwa nyumbani. “Alirudishwa hospitalini siku...
  2. T

    Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

    Re: Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake 1. Dk. Mtuka alisema baada ya kufikishwa hospitalini hapo, alimfanyia kipimo cha macho na kisha kutaka kumfanyia kipimo cha kimaabara ambacho hutolewa bure hospitalini hapo. Alisema hata hivyo binti huyo hakupima kipimo hicho badala yake...
  3. T

    Erp accounting software consultant

    Kwa mahitaji yako ya namna ya kutumia Tally ERP, Myob na Quickbook. Software hizi hutumiwa katika biashara mbalimbali mfano, Bureau de change, Pharmaceutical Industry, Hotel, Bar na Club Maduka ya vitu mbalimbal vifaa vya Ujenzi nk. piga 0688986123
  4. T

    Baba Mkwe wangu ananitishia NISHAURINI

    Kama ungekuwa ni wewe ungechukuwa hatua gani ? Miaka 10 ni mingi kwa mtoto wa kike ndani ya ndoa huku akitumika + msongo wa ndoa. kama ni mkirto unaambiwa ww + yy wote mmekuwa mwili mmoja. kama ni swala la kutafuta ushauri kwa wazazi mlitakikiwa kwenda wote.
  5. T

    Wamethubutu na wanasonga mbele

    Je yaliyofanywa na baadhi ya mawaziri kwenye riport ya CAG kufisadi nchi ndiyo yalikuwa malengo ya semina elekezi ? na kama siyo je mamlaka yao ya nidhamu mbali na kuwaondoa kundini iwachukulie hatua gani ?
  6. T

    LIVE ON Star TV: Kwanini Uwajibikaji kwa Viongozi si suala hiyari?

    Swala la uwajibikaji liwalenge pia ile timu ya Rais inayo mshauri kwani naona haina kazi ndiyo maana ameiskip na kupeleka hoja ya mabadiliko ya mawaziri kwenye CC ya chama . Hawa nao wajiuzuru itakuwa heshima kwao.
  7. T

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Unajuwa kwa nini uko hapa Duniani ? Kama haujui jiulize kila unalolifanya lina mapungufu ? Je umeweza kuona mapungufu ya huo mwili mkuu mapungu mengine hujayaona ? Nakushauri kuwa saizi uliyo nayo ni saizi toshelezi kabisa na umeipata kwa sababu maalum ukitaka kuingoza haitakuwa na tija...
  8. T

    dawa hatari kutumia,soma zaidi,

    Ubarikiwe sana mkuu umetimiza ile ahadi ya Baba wa taifa isemayo nitaitumia elimu yangu kuwaelimisha wengine (Azimio la Arusha) tumekuelewa na tunasonga mbele.
Back
Top Bottom